CC 2500 unafikiri mchezo nini?
Hiyo gari ni nzuri pia inatbia ya kujipandisha na kujishusha bei yenyewe kulingana na mahitaji ya soko, miaka 3 iliyopita brevis imeshuka bei kutokana na ujio wa hizi macX, grande 110, alteza bila kuisahau ist na raum kumechangia sana brevis kuporomoka bei, lakini kwa miezi 6 iliyopita ikaja kurudi tena kwenye ushindani sasa sijui ni kwa nini imeporomoka tena.
Kikubwa sana kwenye hii sector ya automobile ni demand ya soko, usishangae leo hii Bajaji ya TVS kuuzwa bei sawa na hayo magari, Jibu ni kwamba Bajaji inahitajika sana kwenye matumizi ya kawaida na kuna income kwa wamiliki wake.