hahaha sio ndoa tu bali ndoa ya kikatolikiKiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
High consumption of fuel
Kaka onesha hapo kwenye dashboardNauza Allion iko kwenye ubora kabisa
Bei 8.5m mazungumzo kido yapo
Call me at 0625962883
Dar SinzaIko mkoa gani
halafu tofauti ya ulaji wa mafuta ni ndogo sana mie nimekaa na six sijawahi shusha kioo ni full kiyoyozi na ilikuwa inakula wese kawaida sanaMkuu wanunuzi wengi wapya ambao hawajakuwa na experience na magari huwa wana swali moja common!! "Ni four?Au ni six?" ukishatamka neno [six basi ujue huyo mteja hutamuona tena!!
Sipendi Gari za chini nahisi huwa naburuzwa ardhini...
watu tatizo wamekariri.... wao wanaona wingi wa cylinder manake mafuta mengi na power nyingi... wakati unaweza kuta V8 inakula vizuri mafuta tu kuliko 4cylinders........
Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.watu tatizo wamekariri.... wao wanaona wingi wa cylinder manake mafuta mengi na power nyingi... wakati unaweza kuta V8 inakula vizuri mafuta tu kuliko 4cylinders........
Mbona engine ya kawaida kabisa hiyoHayo magari madogo yenye injini kubwa nuksi sana wakati wa kuuza nakumbuka niliuza GX 100 yangu nzuri balaa kwa milioni 3.5
Mkuu niuzie hiyo 109karibu
Mimi natumia land rover 109,series 3.
Huwa nawainjoi wakati wa mvua na kwenye milima hahahaa.
Kuna sticker nimeibandika inasomeka "if you think this is slow wait untill we go uphill"
Karibu sana.
Vyuma vikikaza vinalainishwa na nini?Tuelezeeni wakuu mlioelewa
Hakuna cha 4 cylinders kuwa abnormal mkuu. wala usifikiri idadi ya cylinder ndio itakayoongeza unywaji wa mafuta..... ishu hapo ni efficiency. Ivi unataka kufananisha V8 engine ya 2015 na 4 cylinder Subaru kwa unywaji? au 2jzge?Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.
Wanapo fikiri kuweka idadi kubwa ya cylinder usidhan wanafanya comed
Mkuu niuzie hiyo 109