Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Brevis gari nzuri sana tatizo lipo kwenye uchaguaji kuna injini mbili tofauti kuna 1jz na2jz ukitaka kuinjoi chokua 1jz
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
hahaha sio ndoa tu bali ndoa ya kikatoliki
 
5682e20e948d2855028afbd39f9f3646.jpg
High consumption of fuel
Vyuma vimekaza vijana wa mjini wanaikimba the same like mark x
 
Mkuu wanunuzi wengi wapya ambao hawajakuwa na experience na magari huwa wana swali moja common!! "Ni four?Au ni six?" ukishatamka neno [six basi ujue huyo mteja hutamuona tena!!
halafu tofauti ya ulaji wa mafuta ni ndogo sana mie nimekaa na six sijawahi shusha kioo ni full kiyoyozi na ilikuwa inakula wese kawaida sana
 
watu tatizo wamekariri.... wao wanaona wingi wa cylinder manake mafuta mengi na power nyingi... wakati unaweza kuta V8 inakula vizuri mafuta tu kuliko 4cylinders........

Ni kweli kabisa,mfano land cruiser vx v8.Lina cc 5000.
Lita 1 moja inatembea kilomita 10 kwa safari za mbali(high way).
Lita 1 kwa kilomita 8 kwa safari za mjini kwenye barabara zenye foleni.
 
Iyo Four cylinder itakuwa abnormal.
Wanapo fikiri kuweka idadi kubwa ya cylinder usidhan wanafanya comed
Hakuna cha 4 cylinders kuwa abnormal mkuu. wala usifikiri idadi ya cylinder ndio itakayoongeza unywaji wa mafuta..... ishu hapo ni efficiency. Ivi unataka kufananisha V8 engine ya 2015 na 4 cylinder Subaru kwa unywaji? au 2jzge?

Tusiende mbali, hapa hapa mjini tunayo magari ya daily driving, je wajua kuwa Lexus is200 6 cylinders, unywaji wake ni mdogo ukicompare na Altezza 4 cylinders? Vile vile unatambuwa kuwa Altezza ya 4 cylinders ina nguvu kuliko Altezza ya 6 cylinders?
 
Back
Top Bottom