Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

hayanihusu
 
karibu
Mimi natumia land rover 109,series 3.
Huwa nawainjoi wakati wa mvua na kwenye milima hahahaa.
Kuna sticker nimeibandika inasomeka "if you think this is slow wait untill we go uphill"

Karibu sana.
Bado zinapatikana izi
 
Mwanangu unajua.
 
Huu Uongo wa karne,
Kwa Hiyo Brevis zina Kiwanda chake tofauti na aina zingine za Toyota salon cars kama Altezza, Verossa, Mar X, Carina, Crown, GX 110 etc??
Ivi Toyota Carina bado wanatengeneza zule gari
 

Pole saaana mkuu kwa kutokuelewa unywaji wa mafuta wa gari aina ya gx100/110
Nikweli inatumia lita1 kwa km9 lkn hapo umenyooka ukiwa safarini tena spidi isivuke 100
Lkn kwa matumizi ya mjini lita moja nafkiri itakua km4 ama5 kutokana na kutembelea gea kubwa hapa na hapa breki mara jam
Hio mazda kunywa hivyo oil ujue ringpiston zilikua zimechoka
Wewe utaona gari sio mbovu lkn nyuma ina smoke moshi unaotoka huko kama unapulizia shamba la pamba
Ina ikiendelea hivyo itafkia muda itaanza kumiss hapo ujue oil inapanda kwenye plug
Swala la matumizi ya mafuta kwasasa ndio linapewa kipaumbele saana kwa mfano nchini india wadosi wamemodify hadi kutumia gesi badala ya mafuta taxi zote za india ni gesi tu
 
Mkuu ninachojua wanunuzi wengi wa magari ni wageni kwenye hii sector.
Na wengi wanaangalia ulaji wa mafuta hakuna kingine mkuu..
Hayo ni magari mazuri sana na yanahimili mikiki mikiki tatizo lina kuja kwenye wese.
 
Hapana sio kama naipenda wala hata..bas its a driving style tu na kwa sbb nataka kuapgrade premio old model ndio nikaona hiyo..otherwise ill better go for alteza 3sge.
Yani kumbe upo premio old...kuna tofauti kubwa sana kwenye ulaji wa mafuta kati ya hio premio na alteza.
Alteza ina bwia.
 
Hahah aisee we jamaa acha uwongo wa mchana kweupe.Kweli nina wasiwasi kama kweli una gari wewe.

Nimekua na gx 110 natoka Segerea mpk Mikocheni kila siku kwa miaka zaidi ya 3.Lita 1 ilikua inaenda km 9 bila shida kabisaa.

Usiwe unahadithiwa khs magari mkuu,utakuja kuumbuka aisee.
 

Unajua chochote khs rotary engine?Jifunze kwanza then tuendeleze discussions hapa.
 
Mazda....hahaa kuna jamaa alitaka nibambika hili asee.
Ila ni gari ya adabu hahahaa
 
km 240 kwa tshs 40,000= tshs 166.7 kwa km, equivalent to 14km/l. Full Kibati.
Nadhani ni zaidi ya hizo km, carina ipo vizuri sana kwenye wese asee.
Noma sana inaenda hadi 16/L
 
Mazda....hahaa kuna jamaa alitaka nibambika hili asee.
Ila ni gari ya adabu hahahaa
Hahah mkuu ungejuta aisee,mm niliambiwa shughuli yake pevu kabla sijainunua lkn niliipenda hivyo hivyo ikabidi niagize.

Baadae nilikuja kuiuza kwa mhindi ila nikija kukaa njema ntakuja kuagiza mazda rx 8 ya 2009 nasikia ina improvement kulinganisha na model zilizopita mkuu.
 
Yani kumbe upo premio old...kuna tofauti kubwa sana kwenye ulaji wa mafuta kati ya hio premio na alteza.
Alteza ina bwia.
Atleast altezza inaeleweka ni 10kms per ltr..kuliko hiyo mara wengine 6 per ltr wengine 9 yan hamna jibu sahihi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…