Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

kuna kitu kimoja kwa brevis,IKO AUTOMATED SANA,ACHILIA MBALI CC SIJUI 2500,
SHIDA INAKUJAGA KWENYE MAFUTA,WANAOJUA,HUNUNUI MAFUTA KWA FILLING STATION ZETU HIZI LOCAL,ZINAZOCHANGANYAGA NA MAJI,UNAUWA MFUMO WOTE WA GARI,HUO NDIO UGONJWA WAKE MKUBWA,ISHABADILISHWAGA KWA VITZ,NASHUHUDIA..UMAKINI WA KUREFUEL TU
 
Duh bas izi gari ni shida..tutayanunuaga mbeleni tukiwa na exess kwa ajili ya masafa tu na show off za kuhonga wapenzi wetu..
 
Habari wakuu..
Brevis ni gari nzuri sana na kwa anaejua magari ukimpa choices za gari tatu ambayo moja yake itakua kuna brevis bas hatosita kuichagua brevis.

Ni wazi kuwa juzi nilikua natafuta kuapgrade usafiri wangu nnaotumia so kwa sbb nilishapata mteja nikaona kabla ya kuuza sbr niangalie chaguo mahususi la gari ambao ntaongeza ela kidogo nipate gari ya heshima atleast.choice ya kwanza ikaja brevis sbb nilishawahi kutest kuendesha nikaipenda kiac..
Lakini baada ya kuingia kwenye kusearch mambo niliyoyakuta yalinikatisha tamaa nikaona niulize kwa wadau wajuzi wa magari au haswa wenye uzoefu na izi gari aina ya brevis..

Maana kuna moja niliipenda ila ilitangazwa kati ya august mwaka jana yani 2017 mil 7.5 na kwakua niliipenda ilivyo na rangi yake nikasema sbr niulize kama ipo..kuuliza kweli nilikuta ipo haijauzwa ila sema baada kuendelea kuitumia kwa saivi kaigongesha so sikua interested tena..ingawa najua hata kwa 6 kama ingekua vile vile angenipa..ingawa kaigongesha ila bado mbichi kabisa..

Hivyo basi em tujadiliane ni nini haswa kinafanya hii gari yenye heshima mjini kushuka bei kwa kasi kubwa namna hii..unakuta brevis mbichi kabisa ukiuliza bei utacheka mwenyewe..je zinasumbua?zina matatizo ya ovyo ambayo yanakinaisha?au ndo umiliki wake yake na ulaji wa mafuta una tatiza..je nini tatizo juu ya hizi gari adi zipolomoke bei kwa kasi namna hii haswa used yani second hand..na bado soko lake pia kuwa shida..

Karibuni kwa maoni wajuzi wa mambo.
brevis ni gari yenye garama kwenye vipuli ukipewa ukaenda kufanya marekebisho ya vipuli vingi unaweza kukimbia na coast zake ukipiga mwaka mzima unaweza kukuta unanua gari kila mwaka kwa barabara zetu,alafu vipuli vyake sasa
 
Nimeona wadau wengi hapo wamezungumzia kuhusu Fuel Consumption but mbona similar cars kama Mark X bei yake iko juu pamoja na kuwa na cc2500?
Hata mark X mkuu bei ni zilezile za mkononi hazitofautiani sana kwa ufupi gar zote zenye cc kuanzia 2000 kwenda juu mkononi zinauzwa bei chee sana huwezi linganisha na Ist,premio,alex, au Allion.Unaweza kununua leo mark X mil 16 baada ya mwez ingiza sokon kama utapata hata mtu wa mil 12 bt nunua toyota premio mil 13.5 baada ya mwez unauza hata kwa mil 13
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
....This, if correct, make alot of sense...[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
Kweni kiwanda kilichotengeneza Brevis si ni Toyota..lini kimefungwa?we toa utetezi mwingine tu yamkini ya ulaji wa mafuta sawa na si kufungwa kwa kiwanda
 
Habari wakuu..
Brevis ni gari nzuri sana na kwa anaejua magari ukimpa choices za gari tatu ambayo moja yake itakua kuna brevis bas hatosita kuichagua brevis.

Ni wazi kuwa juzi nilikua natafuta kuapgrade usafiri wangu nnaotumia so kwa sbb nilishapata mteja nikaona kabla ya kuuza sbr niangalie chaguo mahususi la gari ambao ntaongeza ela kidogo nipate gari ya heshima atleast.choice ya kwanza ikaja brevis sbb nilishawahi kutest kuendesha nikaipenda kiac..
Lakini baada ya kuingia kwenye kusearch mambo niliyoyakuta yalinikatisha tamaa nikaona niulize kwa wadau wajuzi wa magari au haswa wenye uzoefu na izi gari aina ya brevis..

Maana kuna moja niliipenda ila ilitangazwa kati ya august mwaka jana yani 2017 mil 7.5 na kwakua niliipenda ilivyo na rangi yake nikasema sbr niulize kama ipo..kuuliza kweli nilikuta ipo haijauzwa ila sema baada kuendelea kuitumia kwa saivi kaigongesha so sikua interested tena..ingawa najua hata kwa 6 kama ingekua vile vile angenipa..ingawa kaigongesha ila bado mbichi kabisa..

Hivyo basi em tujadiliane ni nini haswa kinafanya hii gari yenye heshima mjini kushuka bei kwa kasi kubwa namna hii..unakuta brevis mbichi kabisa ukiuliza bei utacheka mwenyewe..je zinasumbua?zina matatizo ya ovyo ambayo yanakinaisha?au ndo umiliki wake yake na ulaji wa mafuta una tatiza..je nini tatizo juu ya hizi gari adi zipolomoke bei kwa kasi namna hii haswa used yani second hand..na bado soko lake pia kuwa shida..

Karibuni kwa maoni wajuzi wa mambo.
Malundo ndo kakupa hiyo bei!
 
sijui tatizo ni nini maana hiyo GX 100 iko vizuri sana mpaka aliyonunua alikuja kunishukuru hata wese inakula kawaida tofauti na gari niliyonayo sasa hivi but kuuzika ilikuwa ngumu sana niliiweka sokoni mwaka mzima watu wanachungulia wanatereza sasa sijui zina mkosi gani kitaani yaani bora hata Vitz inauzika kirahisi na kwa bei nzuri
Mkuu wanunuzi wengi wapya ambao hawajakuwa na experience na magari huwa wana swali moja common!! "Ni four?Au ni six?" ukishatamka neno [six basi ujue huyo mteja hutamuona tena!!
 
watu tatizo wamekariri.... wao wanaona wingi wa cylinder manake mafuta mengi na power nyingi... wakati unaweza kuta V8 inakula vizuri mafuta tu kuliko 4cylinders........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha inamaelezo mengi saana
Nakuona unalainisha kwa kutumia kilainishi!
 
Back
Top Bottom