Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Kila mtu ananunua Gari kwa mahitaji yake mwenyewe (wengine wanatafuta luxury nyie kwa ajili ya kubebea simenti/tofali) so usipangie watu wote wanunue Toyota wakati wao wanataka Luxury.
Hahahah sasa Nissan ni Luxury mkuu?
 
Gari ni Matunzo tu, Dualis ni kama Diamond -Platinumz alipokuwa Tandale na Diamond Platinumz anayeishi MADALE.
MATUNZO ndio yanatofautisha, wabongo tumezoea gereji za pembeni ya barabara, spea feki kwanini gari isife, ipe matunzo kama Zari anavyojipenda uone.
 
Tuache dharau kwa waalimu!
 
Tuache dharau kwa waalimu!
 
Acha maneno mbofumbofu kwa xtrail. Imetulea tukiwa na hela za mawazo. SUV kwa Bei ya Sedan
 
Kigari kibaya hiki kina muonekano wa chura πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah Sasa itakuwaje, nikiona hizi comments za kuponda hilo gari najisikia vibaya kweli yani, ila linauzwa Bei mbaya kinoma, nitarudi kulitolea ushuhuda
 
Dah Sasa itakuwaje, nikiona hizi comments za kuponda hilo gari najisikia vibaya kweli yani, ila linauzwa Bei mbaya kinoma, nitarudi kulitolea ushuhuda
Unakinunua au ndo kiko majini sahizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…