Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Engine Oil na Transmission Oil (CVT) za Nissan Dualis sasa ww uingie chaka ueke tofauti hasa hiyo CVT Oil [emoji28]View attachment 1732053
nissan_dualistz_20210322_2.jpg
 
Hizi gari zinaungua sana nadhan mfumo wake wa umeme una shida fulani
Utadhani wewe ndio huwa unapigiwa simu zote za magari yanayoungua kwa moto kwenda kuzima moto huo moto na una takwimu ya idadi ya gari zinazoungua moto kila siku na unajua brand ipi na toleo gani huwa linaungua kwa wingi. Mtu akiamua kuponda jambo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom