Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mule mule yaniNi Kama Dar, Maji ya Kandoro 100 kukojoa 300 [emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mule mule yaniNi Kama Dar, Maji ya Kandoro 100 kukojoa 300 [emoji16]
5w-30 API SNEngine Oil na Transmission Oil (CVT) za Nissan Dualis sasa ww uingie chaka ueke tofauti hasa hiyo CVT Oil [emoji28]View attachment 1732053View attachment 1732054
Bei sh ngap?5w-30 API SNView attachment 1732059
Ndoa ya kikristo ila kwa kuwa wanazinunua baadae zitaanza kuuziwa kwa Bei cheAchana na nissan mi mwenyewe ni nayo ni kichefu chefu ni gari mayai haitaki manginjanginja pia spare aghali itakufilisi
Go fo kluger au landrover defender hutanutia
Utadhani wewe ndio huwa unapigiwa simu zote za magari yanayoungua kwa moto kwenda kuzima moto huo moto na una takwimu ya idadi ya gari zinazoungua moto kila siku na unajua brand ipi na toleo gani huwa linaungua kwa wingi. Mtu akiamua kuponda jambo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi gari zinaungua sana nadhan mfumo wake wa umeme una shida fulani