Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Hizi gari zinaungua sana nadhan mfumo wake wa umeme una shida fulani
Utadhani wewe ndio huwa unapigiwa simu zote za magari yanayoungua kwa moto kwenda kuzima moto huo moto na una takwimu ya idadi ya gari zinazoungua moto kila siku na unajua brand ipi na toleo gani huwa linaungua kwa wingi. Mtu akiamua kuponda jambo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…