Hivi hawa wako wapi na bei zao je kwa interior design ni ghali?Nilijaribu kuwafata SAFARI AUTOMATIVE walisema shida ya dualias ni milango na roof hata unapofanya Interior Design wanashauri sana milango na roof.
Nishatia maji sana wala hakukuwa na shida, tena mi nilidumbukia dimbwini kabisa[emoji848]Kaitie kwenye maji uone kama kifaa ni imara kiasi hicho.
Hio sio Nissan ninayoijua mimi with full electronic controls. Ungekuwa unalia sahiziNishatia maji sana wala hakukuwa na shida, tena mi nilidumbukia dimbwini kabisa[emoji848]
Sasa hapo kwenye matunzo ya gari ndio watu wanapolia napo... Kuna gari hazihitaji gharama kuuubwa kuzitunza kama maana unapozungumzia kutunza gari ni pamoja na kufanta service, kubadili spare kwa wakati nk. Sasa hivyo vitu ndio unakuja kupata gharama halisi ya kui run hiyo gari sasa angalia kwa nissan na toyota..gari lolote ukilitunza kama mtengenezaji alivyoshauri....lazima utakaa nalo muda mrefu tu....
Tatizo wabongo wamekari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wako wapi na bei zao je kwa interior design ni ghali?
Hivi hawa wako wapi na bei zao je kwa interior design ni ghali?
Wapo kila mkoa, wachek insta, ila bei zimesimama kidogo ila kazi zao hatari
Fuel consumption iko juu na uzuri nimetumia hiyo gari nisikufiche inakunywa kweli kweli [emoji3]... Lakini pia ni gari flani nyepesi na engine ina nguvu kubwa ndio maana njiani ni moto! Kuhusu spea zipo za kutosha tu ila kama umezoea toyota hapo kwa subaru utapata maumivu ya bei kidogo! Chuma ni AWD yani All Wheel Drive hukwami popote! Design nachukia tu seat zake ukikaa ni kama umetumbukia [emoji3] zipo chini yani. Kama unaangalia gari ambayo itakupa unafuu kui run hasa kwenye spea basi usitoke nje ya toyota! Kwa 20M chukua Klugger engine ya 2AZ
Nissan ni gari poa sana ikimpamta mtu anayejua namna ya kukaa nayo...Eti nissan ni gari nyanya [emoji848]
Haki mpaka unajiuliza maswali
Yangu ina miaka 6 na huwa naosha engine kwa ndoo..[emoji28][emoji119][emoji119][emoji28].Kaitie kwenye maji uone kama kifaa ni imara kiasi hicho.
Twin 1.5[emoji15][emoji15] nikiongezea kidogo navuta kimakonda changu!Twin wapo pale Morroco karibu na kwa Azizi gharama sio ghali kihivyo ni kuanzia M1.5
Ukitaka unafuu nenda Dec huwa wanapunguzo sema ukitoka pale lazima gari uipende.
Sasa unazungumzia nissan hardbody mtambo wa kazi utafananisha na nyanya kama xtrail ama murano?Yangu ina miaka 6 na huwa naosha engine kwa ndoo..[emoji28][emoji119][emoji119][emoji28].
Nissan watu wasizichukukie poa..
Kero yake ni bei ya spea kama wallet ina njaa njaa..
Kero nyingine ni ukitaka kuuza haitoki haraka na haiuziki kwa bei nzuri..[emoji119][emoji28][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ndio kitu kimeniudhi katika hio gari kwa kweli. Kuna jamaa yangu analo nikamwambia sijawahi kalia subaru hebu ni test drive. Lipo kimya sana ndani, sound system nzuri ila siti jau,,,yani upo kwenye 4*4 ila siti ziko chini utafikiri umekaa kwenye crownπππ!Fuel consumption iko juu na uzuri nimetumia hiyo gari nisikufiche inakunywa kweli kweli π... Lakini pia ni gari flani nyepesi na engine ina nguvu kubwa ndio maana njiani ni moto! Kuhusu spea zipo za kutosha tu ila kama umezoea toyota hapo kwa subaru utapata maumivu ya bei kidogo! Chuma ni AWD yani All Wheel Drive hukwami popote! Design nachukia tu seat zake ukikaa ni kama umetumbukia π zipo chini yani. Kama unaangalia gari ambayo itakupa unafuu kui run hasa kwenye spea basi usitoke nje ya toyota! Kwa 20M chukua Klugger engine ya 2AZ
Wana jamvi tunataka tuishi barabarani kwa bei za uchumi wa kati πππ Toyota ndie mkombozi wetu.Mi ninayo ni gari nzuro sana sijawahi kuijutia tatizo la wanajamvi humu wamechanjiwa Toyota kama una ndoto za kuinunua wewe nunua hata usijali kabis
sent from HUAWEI
Usijaribu kuacha mbachao kwa msala upitao. Usiuze IST yako ili kununua Dualis, utajuta.dah hii gari naipenda sana kwa muonekano na kutest kuendesha mpaka nafikiria niuze ist yangu ninunue Dualis mwezi ujao lkn mm co mjuzi wa magari kabisaa, zaidi nategemea ushauri wa watu.
Suzuki carry A.K.A Kirikuu ndiyo zinaogopa maji...kakilowa engine tu msala....Nissan mnazionea sana..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]Hio sio Nissan ninayoijua mimi with full electronic controls. Ungekuwa unalia sahizi