Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

gari lolote ukilitunza kama mtengenezaji alivyoshauri....lazima utakaa nalo muda mrefu tu....
Tatizo wabongo wamekari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo kwenye matunzo ya gari ndio watu wanapolia napo... Kuna gari hazihitaji gharama kuuubwa kuzitunza kama maana unapozungumzia kutunza gari ni pamoja na kufanta service, kubadili spare kwa wakati nk. Sasa hivyo vitu ndio unakuja kupata gharama halisi ya kui run hiyo gari sasa angalia kwa nissan na toyota..
 
Hivi hawa wako wapi na bei zao je kwa interior design ni ghali?

Twin wapo pale Morroco karibu na kwa Azizi gharama sio ghali kihivyo ni kuanzia M1.5

Ukitaka unafuu nenda Dec huwa wanapunguzo sema ukitoka pale lazima gari uipende.
 
Fuel consumption iko juu na uzuri nimetumia hiyo gari nisikufiche inakunywa kweli kweli [emoji3]... Lakini pia ni gari flani nyepesi na engine ina nguvu kubwa ndio maana njiani ni moto! Kuhusu spea zipo za kutosha tu ila kama umezoea toyota hapo kwa subaru utapata maumivu ya bei kidogo! Chuma ni AWD yani All Wheel Drive hukwami popote! Design nachukia tu seat zake ukikaa ni kama umetumbukia [emoji3] zipo chini yani. Kama unaangalia gari ambayo itakupa unafuu kui run hasa kwenye spea basi usitoke nje ya toyota! Kwa 20M chukua Klugger engine ya 2AZ

asante sana kwa ushauri boss! naskia kluggee inakunywa sana mafuta... compared to subaru forester, ipi inakunywa zaidi?
 
Eti nissan ni gari nyanya [emoji848]

Haki mpaka unajiuliza maswali
Nissan ni gari poa sana ikimpamta mtu anayejua namna ya kukaa nayo...

Lakini kwa wale wa oil za kupima kule Buzza, na spea za kichina za kulinganisha kama zinaingia....let them stay away from Nissans..[emoji28][emoji28][emoji28]

Mtanzania huwezi kumtenganisha na TOYOTA, CCM, Yanga [emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaitie kwenye maji uone kama kifaa ni imara kiasi hicho.
Yangu ina miaka 6 na huwa naosha engine kwa ndoo..[emoji28][emoji119][emoji119][emoji28].

Nissan watu wasizichukukie poa..

Kero yake ni bei ya spea kama wallet ina njaa njaa..
Kero nyingine ni ukitaka kuuza haitoki haraka na haiuziki kwa bei nzuri..[emoji119][emoji28][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twin wapo pale Morroco karibu na kwa Azizi gharama sio ghali kihivyo ni kuanzia M1.5

Ukitaka unafuu nenda Dec huwa wanapunguzo sema ukitoka pale lazima gari uipende.
Twin 1.5[emoji15][emoji15] nikiongezea kidogo navuta kimakonda changu!

Nimewaona insta so nikasema niulize naona wanajua kazi kwelikweli
 
Yangu ina miaka 6 na huwa naosha engine kwa ndoo..[emoji28][emoji119][emoji119][emoji28].

Nissan watu wasizichukukie poa..

Kero yake ni bei ya spea kama wallet ina njaa njaa..
Kero nyingine ni ukitaka kuuza haitoki haraka na haiuziki kwa bei nzuri..[emoji119][emoji28][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unazungumzia nissan hardbody mtambo wa kazi utafananisha na nyanya kama xtrail ama murano?
 
Fuel consumption iko juu na uzuri nimetumia hiyo gari nisikufiche inakunywa kweli kweli 😀... Lakini pia ni gari flani nyepesi na engine ina nguvu kubwa ndio maana njiani ni moto! Kuhusu spea zipo za kutosha tu ila kama umezoea toyota hapo kwa subaru utapata maumivu ya bei kidogo! Chuma ni AWD yani All Wheel Drive hukwami popote! Design nachukia tu seat zake ukikaa ni kama umetumbukia 😀 zipo chini yani. Kama unaangalia gari ambayo itakupa unafuu kui run hasa kwenye spea basi usitoke nje ya toyota! Kwa 20M chukua Klugger engine ya 2AZ
Hio ndio kitu kimeniudhi katika hio gari kwa kweli. Kuna jamaa yangu analo nikamwambia sijawahi kalia subaru hebu ni test drive. Lipo kimya sana ndani, sound system nzuri ila siti jau,,,yani upo kwenye 4*4 ila siti ziko chini utafikiri umekaa kwenye crown😂😂😂!

Niliendesha Suzuki Grand Vitara lipo na siti nzuri kuliko hio Subaru.
 
Mi ninayo ni gari nzuro sana sijawahi kuijutia tatizo la wanajamvi humu wamechanjiwa Toyota kama una ndoto za kuinunua wewe nunua hata usijali kabis

sent from HUAWEI
Wana jamvi tunataka tuishi barabarani kwa bei za uchumi wa kati 😂😂😂 Toyota ndie mkombozi wetu.
 
Back
Top Bottom