Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Sio Tanzania, inaweza kuwa spain ebu angalia plat no: pembeni hiyo ni bendera ya nchi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hapa ni tanzania
nahama nchi!
mleta mada una visa
nina Visa za Somalia kama tano hivi mni-pm.Mimi nafuatia kuhama hiii nchi.
Kweli mwaya.Tumia hela ikuzoeee!!!
Watu mnajua hadi mke wa Kusaga anaendesha gari gani....daaah!! Ama kweli mnawafuatilia hawa jamaa.
Camaraderie true dat ile ya rangi nyekundu kama sikosei
Kwa Tanzania hii ni rahisi sana kwani gari kama hizo ziko chache na mtu akiwa nayo lazima atambe nayo mitaani watu wote wapate habari. Na kuendesha kwa spidi kali na kutanua ili watu wapate kuona vizuri, sasa unashangaa nini?
Wenye hammer wote wanajulikana iweje hizo gari mbili tu.
kama hapa ni tanzania
nahama nchi!
mleta mada una visa
Umekwenda mbali sana mkuu, kama Toyota Cresta GX 110 inaitwa gari ya kifahari what about Hummer?Hivi Hummer bongo bado zinaonekana za maana?