Porsche Carerra ya Joseph Kusaga

Porsche Carerra ya Joseph Kusaga

Sio Tanzania, inaweza kuwa spain ebu angalia plat no: pembeni hiyo ni bendera ya nchi gani?
 
hzo picha hapo sio bongo so leta picha ambazo zipo bongo na hyo pampu
 
how can u drive such a car in bongo?? its unfair. Just help ur neighbours kama pesa imekuzidia.
 
Kama kila Average Joe angeruhusiwa kuingiza magari ya kifahari kama haya bila kulipia senti tano ya kodi, si yangejaa mitaani.
 
Watu mnajua hadi mke wa Kusaga anaendesha gari gani....daaah!! Ama kweli mnawafuatilia hawa jamaa.
 
Jamani tunajua mnajua ku photoshop ziktokea tenda za ku photoshop tutawajulisha
 
Watu mnajua hadi mke wa Kusaga anaendesha gari gani....daaah!! Ama kweli mnawafuatilia hawa jamaa.

Kwa Tanzania hii ni rahisi sana kwani gari kama hizo ziko chache na mtu akiwa nayo lazima atambe nayo mitaani watu wote wapate habari. Na kuendesha kwa spidi kali na kutanua ili watu wapate kuona vizuri, sasa unashangaa nini?

Wenye hammer wote wanajulikana iweje hizo gari mbili tu.
 
Hivi Hummer bongo bado zinaonekana za maana?
 
Haaaaaa B12 ana Mark II,Adam mchomvu ana corolla,Rueben ana Alterza,Dj Fetty ana Vitz duuuu gap kubwa sanaaaaa
 
kama hapa ni tanzania
nahama nchi!

mleta mada una visa

Angeyajenga madarasa kule uhayani na kuyaita Jk siyo kukaa na vigari vya kijinga alafu anaenda marekani eti ni (fogo) na kuwanyonya wasanii pia kuweka sherehe kubwa za bethday za president na huku mnamsaga president Kikwete eti mtalii aenda kuomba omba USA neti za mbu. Shem on you Watanzania
 
Back
Top Bottom