Sheria ya uanzaji wa mpira imefanyiwa marekebishoWakuu hii style ya kuanza mpira anasimama mtu mmoja kwenye dimba katikati ni sheria mpya?Maana nimeiona kwenye Euro tu.Ufafanuzi tafadhali.
Umeanza eeh!!Piga mbwaaaaaaaaaaaa
AaahMwambie huyo hana busara za kimichezo
haha hiyo excuse haikubaliki.****** wakifungwa utaona viherehere wataanza oh kwakuwa panadol aliumia ndio maanaππ tushawazoea hawa