fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,672
Sheria ya uanzaji wa mpira imefanyiwa marekebishoWakuu hii style ya kuanza mpira anasimama mtu mmoja kwenye dimba katikati ni sheria mpya?Maana nimeiona kwenye Euro tu.Ufafanuzi tafadhali.
Kwa sasa muanzishaji anaruhusiwa kupiga mpira upande wowote