DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Ribery ni Mwarabu wa wapi? Ununio?
hafungwi ureno leo...****** wakifungwa utaona viherehere wataanza oh kwakuwa panadol aliumia ndio maana😀😀 tushawazoea hawa
Natabili kipindi cha pili kuwa kigumu kwa france maana watacheza kwa plesha, japo ndoo iko palepale
Umeonaee...huyi refa mwingereza hafao kabisaDuuuu Ureno wanaharibiwa kisaikolojia Refa awe makinj
refa anaandaa mazingiraSisoko alistahili kadi pale...hehehe
Team kususa yuleMwambie huyo hana busara za kimichezo
kabisa, bila ajiziMdogo mdogo mtastukia Ureno anabeba ndoo
uko vzrPlesha=presha, watakufa tu hao watoto no way