Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Natabiria dakika 90 zitaisha 0 - 0 na dakika 30 za nyongeza zitaisha 0 - 0, ushindi utakuja kwa penalty. Nani atashinda bado nasubiria..

Kasie.
 
Hii vipi
1468183262400.jpg
 
Ufaransa hawskutegema kufika huku mpaka dk hii hawana goli..
 
Wafaransa wanahali mbya hawakutegemea km mech itakuwa ngumu kiasi hiki.nawatakia ushndi sbb wanaweusi wengi kwnye kikosi chao
 
Daa hawa jamaa wamepitia njia za panya wanataka kuleta usumbufu mwishoni, Duu sikutegemea kama wangecheleweshwa hivi
 
Matuid na mzee wa misifa pogba leo wamezikwa
 
Back
Top Bottom