ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kwanini kamtoa sanchez???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo masna nikauliza ni sub chanya hiziKwanini kamtoa sanchez???
hawa wajukuu wa vasco dagama naona wanazidi kupata kanguvu kwa mbali.Ndo masna nikauliza ni sub chanya hizi
Halafu hakutoa kadi....amemuumiza kabisa
Natabiria dakika 90 zitaisha 0 - 0 na dakika 30 za nyongeza zitaisha 0 - 0, ushindi utakuja kwa penalty. Nani atashinda bado nasubiria..
Kasie.
The sleeping bear is now awake..Daa hawa jamaa wamepitia njia za panya wanataka kuleta usumbufu mwishoni, Duu sikutegemea kama wangecheleweshwa hivi