Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Wakiendelea hivi nalala coz hamna nmna nyingine. Usingiziiiii
 
Wafaransa wanahali mbya hawakutegemea km mech itakuwa ngumu kiasi hiki.nawatakia ushndi sbb wanaweusi wengi kwnye kikosi chao
Hawa waafrika tunawafukuzisha kazi leo warudi kwao kutoka utumwani
 
Portugal wamejitahidi sana kutoa draw kwenye dakika 90. Sasa ni extra time kama bado hakuna mshindi tunahamia kwenye matuta.
 
Huko kwenye matuta sina imani kbisa...!
 
Mreno mpige mbwa huyo sijui Franch anaitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…