kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,995
- 2,572
Tunawapiga kwao.Halafu hakutoa kadi....amemuumiza kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawapiga kwao.Halafu hakutoa kadi....amemuumiza kabisa
Kasie
Sissoko ni shida mpya kwa makipaleo sissoko hadi sasa kamfunika pogba kimaamuz
Hawa waafrika tunawafukuzisha kazi leo warudi kwao kutoka utumwaniWafaransa wanahali mbya hawakutegemea km mech itakuwa ngumu kiasi hiki.nawatakia ushndi sbb wanaweusi wengi kwnye kikosi chao
Mkuu sissoko yupo vizuri sana leompira ukiisha huyu Sissoko akapimwe sample ya damu,anaonekana ana nguvu za ziada leo!!!
Dah!
Ngoma ilikuwa imeisha hii,daaaghWakiendelea hivi nalala coz hamna nmna nyingine. Usingiziiiii