Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Yaani kuna mchezeji wa France nawasikia watangazaji wanatamka Siniak though inaanza na herufi G ..... sasa huyu Sinia amekosa goli yaani amenifanya nipige ukulele wa gooooh halafu aaahh.... mpira una midadi mibaya sana daah
 
Nimeanza kupata wasiwasi na France.
Wanajitahidi sana lakini mpira haukubali kuingia langoni mwa Portugal.
Isijetokea sudden death hapa!
Vipapai vya kizungu shida sana!
 
Sissoko kanishangaza sana leo, ni player of the game. Nadhani baadhi ya team za Ulaya zinaweza kuanza kumuulizia huyu ili zimnunue. Kacheza vizuri sana.
Jamaa kacheza kama ana tafuta kutoka kimaisha hvi nme mkubali
 
Reactions: BAK
huyu sisoko ni shda yaan ana mashuti ya mbali na ya nguvu alaf akiwa na mpira huwez kumpora
 
Sissoko kanishangaza sana leo, ni player of the game. Nadhani baadhi ya team za Ulaya zinaweza kuanza kumuulizia huyu ili zimnunue. Kacheza vizuri sana.
Leo katakata
 
Reactions: BAK
France wataumia sana kwa nafasi walizokosa endapo watashindwa hii fainali
 
Leo ureno wataishangaza Dunia!!
wakishinda ntamuelewa yule jamaa aliyetabiri Leicister city kuchukua EPL,Messi kuresign timu ya taifa na britex, pia katabiri Portugal kuchukua hili kombe.
Niko hapa kuhakikisha anafeli ila upepo sasa hivi siusomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…