MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
sibagui nafurahi jinsi dunia ilivyo kijiji.MSEZA MKULU, acha ubaguzi!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sibagui nafurahi jinsi dunia ilivyo kijiji.MSEZA MKULU, acha ubaguzi!.
Umeona mkuu eeehh...!!??daaaah goli lile lingeingia soka ungekuwa mchezo katili sana
Mkuu sissoko yupo vizuri sana leo
Kuna mtu anampigania...imekiwaje ufaransa anakosa goli lile?hii game naona kama Sir God mwenyewe kaingilia mnyonge apate haki yake!!!
Jamaa kacheza kama ana tafuta kutoka kimaisha hvi nme mkubaliSissoko kanishangaza sana leo, ni player of the game. Nadhani baadhi ya team za Ulaya zinaweza kuanza kumuulizia huyu ili zimnunue. Kacheza vizuri sana.
Leo katakataSissoko kanishangaza sana leo, ni player of the game. Nadhani baadhi ya team za Ulaya zinaweza kuanza kumuulizia huyu ili zimnunue. Kacheza vizuri sana.
Jamaa game imemkubali kweli kweli! !mpira ukiisha huyu Sissoko akapimwe sample ya damu,anaonekana ana nguvu za ziada leo!!!
Pole sana.!Ayaah,Tanesco jamani!
wakishinda ntamuelewa yule jamaa aliyetabiri Leicister city kuchukua EPL,Messi kuresign timu ya taifa na britex, pia katabiri Portugal kuchukua hili kombe.Leo ureno wataishangaza Dunia!!
Kabisa aisee.!hii game naona kama Sir God mwenyewe kaingilia mnyonge apate haki yake!!!