Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,272
hii namba imesomeka bila chenga.
Hongera Portugal, Hongera Pro-Portugal
Tena zaidi ya huyo
Kama nawaona vile mnavyofurahia,
Hahaha
Wana wake uwa hamuangalii mpira bila kuangalia wanao cheza walivo
Portugal hawajashinda hata gemu moja ndani ya 90 minutes.. Kweli never give up!
Never ever give UPPortugal from "best looser to the best winner"
Kuna kitu nimejifunza hapa.
Yupo anafatilia humu...kimya kimyaPNC1 salam zikufikie popote ulipo
Mwaka wa cr7 huu, mkwepa kodi analia huko aliko
Sawa mama asante..manake unavyotunyoosha humu ndani.. Lazima tunyooke vya kutosha= 2 minutes
Pogba sio wa pesa hiyoHuyo Pogba ndiyo wa Paun Mil 100?anambwelambwela tu.
Uko sawa kabisa BAK. Familia ya Le Pen watapata support ya kutosha.Wasiwasi wangu maracist wa Ufaransa wanaweza kuanza kulaumu kushindwa kwao kutokana na timu kuwa na wachezaji wengi weusi.
Anakuzwa tu..Pogba sio wa pesa hiyo mamaeee
Timu inashinda mechi tatu inachukua ubingwa!..ubingwa si dalili ya ubora wa timu katika mashindano ya mtoano
Ni wa ndugu zako liverpool...You'll never walk alone...... huu wimbo sijui unaimbwagwa na timu gani.... au ni slogan ya timu gani sijui. ....
nimekukumbuka tuu
You'll never walk alone man........
Timu inashinda mechi tatu inachukua ubingwa!..ubingwa si dalili ya ubora wa timu katika mashindano ya mtoano