Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

hii namba imesomeka bila chenga.
Hongera Portugal, Hongera Pro-Portugal
3953863_cncirm9xeaemq2_jpeg623527f8147bd0ce7d03240918aa6698

Tena zaidi ya huyo


Kama nawaona vile mnavyofurahia,
tumblr_inline_nao4uatZAm1qgt12i.gif
 
Hahaha
Wana wake uwa hamuangalii mpira bila kuangalia wanao cheza walivo

Haaswaaaa lazima kuna kitu tunaangalia kwa u ndani zaidi hasa mimi binafsi. Hahahahaha ni burudani tuu Mtambuzi alisema ni kiwi cha macho heheh
 
best looser! hahahaaa!,,,,,hawajawahi kushinda ndani ya kipindi cha kwanza! teteteee!,,,,hizo ni mbinu za kimchezo ili musitutilie maanani,,,,heko timu ureno
 
Mimmiking of Ronaldo unjury is Very good tactic on football advantage over portugal ... then France relaxed because Ronaldo is on substitution
 
You'll never walk alone...... huu wimbo sijui unaimbwagwa na timu gani.... au ni slogan ya timu gani sijui. ....
nimekukumbuka tuu

You'll never walk alone man........
 
Wasiwasi wangu maracist wa Ufaransa wanaweza kuanza kulaumu kushindwa kwao kutokana na timu kuwa na wachezaji wengi weusi.
Uko sawa kabisa BAK. Familia ya Le Pen watapata support ya kutosha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ufaransa nguvu nyingi akili kidogo.Ufaransa hawakutakiwa kuibeza timu yeyote iliyofika fainali.


Hongera kwao Ureno.
 
Timu inashinda mechi tatu inachukua ubingwa!..ubingwa si dalili ya ubora wa timu katika mashindano ya mtoano

Hii ni kweli kabisa.

Kwa sababu mimi bado naamini hata siku ile Ufaransa ilipowatoa Ujerumani, Ujerumani ilicheza vizuri zaidi ya Ufaransa lakini haikufunga tu magoli.

Na ndo kama leo. Ufaransa imecheza vizuri zaidi ya Ureno lakini Ureno ndo imeshinda.

Ndo asili ya mchezo wa mpira wa miguu ulivyo.
 
You'll never walk alone...... huu wimbo sijui unaimbwagwa na timu gani.... au ni slogan ya timu gani sijui. ....
nimekukumbuka tuu

You'll never walk alone man........
Ni wa ndugu zako liverpool...
 
Timu inashinda mechi tatu inachukua ubingwa!..ubingwa si dalili ya ubora wa timu katika mashindano ya mtoano
3953902_3623085facebook20160331114042jpegbf536b6e8600273f72d83ae4691dfbd2_0_jpega02611a42d2820dca9bd12b632f577d7

Tutafanyaye sasa kiongozi, Hapa inabidi kuwa mpole tu.
Euro kachukua greece hivihivi,Kachukua Italy hivihivi. Ila Portigal wameshinda vizuri japo kapita njia za ujanjaujanja.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom