kudra hamidu
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 152
- 107
Kitu pekee chenye uhakika wa kutokea katika maisha ya binadamu ni kifo pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmepanicPogba sio wa pesa hiyo
raha ya mpira magoli kumiliki mpira na mbwembweHii ni kweli kabisa.
Kwa sababu mimi bado naamini hata siku ile Ufaransa ilipowatoa Ujerumani, Ujerumani ilicheza vizuri zaidi ya Ufaransa lakini haikufunga tu magoli.
Na ndo kama leo. Ufaransa imecheza vizuri zaidi ya Ureno lakini Ureno ndo imeshinda.
Ndo asili ya mchezo wa mpira wa miguu ulivyo.
Wivu huo unakusumbua kwa maana umeshaanza fanya description baada ya kufungwaHapo ilipoishia sweta na mwanzo wa bukta. .. hapo kati.... pamechomoza mbele. ... kama kijiti vilee. ......[emoji14]
Benzema alifungiwa kuchezaUnamuacha benzema,ben arfa,unamuita gignac
Mwaka wa cr7 huu, mkwepa kodi analia huko aliko
labda kawaona ni waarabu sana mkuuUnamuacha benzema,ben arfa,unamuita gignac
labda kawaona ni waarabu sana mkuuUnamuacha benzema,ben arfa,unamuita gignac
Kuanzia mwanzo watu walisema Portugal kazidiwa lkn nikueleze kitu, kushambulia kila mtu anaweza so mnaweza mkawa mnashambuliana to n' fro muda wote.hakuna kusoma mchezo pale,walizidiwa,ila kocha wa ureno anachokijua ni kusuka ukuta,kushambulia ni bure kbsa
labda kawaona ni waarabu sana mkuu
Weusi walikuwepo kote mkuu, au mchaga sio mwezi ila mndali ndiye mweusi?Hahaha, tuna weusi humo ktk France