Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

1de480559d26c4f36a002857b690b273.jpg

Kitu pekee chenye uhakika wa kutokea katika maisha ya binadamu ni kifo pekee.
 
Hii ni kweli kabisa.

Kwa sababu mimi bado naamini hata siku ile Ufaransa ilipowatoa Ujerumani, Ujerumani ilicheza vizuri zaidi ya Ufaransa lakini haikufunga tu magoli.

Na ndo kama leo. Ufaransa imecheza vizuri zaidi ya Ureno lakini Ureno ndo imeshinda.

Ndo asili ya mchezo wa mpira wa miguu ulivyo.
raha ya mpira magoli kumiliki mpira na mbwembwe
 
Hapo ilipoishia sweta na mwanzo wa bukta. .. hapo kati.... pamechomoza mbele. ... kama kijiti vilee. ......[emoji14]
Wivu huo unakusumbua kwa maana umeshaanza fanya description baada ya kufungwa
 
hakuna kusoma mchezo pale,walizidiwa,ila kocha wa ureno anachokijua ni kusuka ukuta,kushambulia ni bure kbsa
Kuanzia mwanzo watu walisema Portugal kazidiwa lkn nikueleze kitu, kushambulia kila mtu anaweza so mnaweza mkawa mnashambuliana to n' fro muda wote.

Sasa hapa mchezo ulichezwa from nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja kwamba France wako Hm na kuanzia media, mashabiki, dunia watakuwa wanaiangalia France sasa kwenye final ukiwa na mpinzani makini hilo ni tatizo moja kwako wewe mwenyeji. All eyes on U.

Walichofanya Portugal in 1st 30 mins ni kuzuia pressure ya watu wa nyumbani na dunia.
Wakafanikiwa, from there ni kumaintain game up to 45mins then 2nd half wakaingia ni kukaba na kushambulia na ujue mpaka 1st half inaisha France walishapanick kwa sababu hawa kuwa na goal as they expect kama watoto wa hm, hilo nalo ni tatizo kubwa.
 
labda kawaona ni waarabu sana mkuu

Hahahaa hakika hisia za ubaguzi hazitaisha leo wala kesho.

Na ndo changamoto za jamii zilizochanganyika.

Akiachwa huyu na kuchukuliwa yule, kama watu hao wako tofauti na hususan kama aliyeachwa siyo mzungu na aliyechukuliwa ni mzungu, basi hizo hisia zitakuwepo tu.

Inasikitisha lakini ndo ukweli wenyewe huo.
 
4065.jpg

Portugal’s players celebrate after Éder scored during extra time in the Euro 2016 final against France. Photograph: Philippe Desmazes/AFP/Getty Images
 
2475.jpg

Portugal’s Renato Sanches jumps on teammates after Eder scores. Photograph: Franck Fife/AFP/Getty Images
 
Back
Top Bottom