LiverpoolYou'll never walk alone...... huu wimbo sijui unaimbwagwa na timu gani.... au ni slogan ya timu gani sijui. ....
nimekukumbuka tuu
You'll never walk alone man........
Looser? Au Loser?best looser! hahahaaa!,,,,,hawajawahi kushinda ndani ya kipindi cha kwanza! teteteee!,,,,hizo ni mbinu za kimchezo ili musitutilie maanani,,,,heko timu ureno
Tutafanyaye sasa kiongozi, Hapa inabidi kuwa mpole tu.
Euro kachukua greece hivihivi,Kachukua Italy hivihivi. Ila Portigal wameshinda vizuri japo kapita njia za ujanjaujanja.
1st 30mins Ureno walikuwa wanawasoma France, nao wakakurupukaUfaransa nguvu nyingi akili kidogo.Ufaransa hawakutakiwa kuibeza timu yeyote iliyofika fainali.
Hongera kwao Ureno.
HahahahaHaaswaaaa lazima kuna kitu tunaangalia kwa u ndani zaidi hasa mimi binafsi. Hahahahaha ni burudani tuu Mtambuzi alisema ni kiwi cha macho heheh
Hata Denmark ilishindaga pia....1992.
Mkuu naamini majibu umeyapata..wakishinda ntamuelewa yule jamaa aliyetabiri Leicister city kuchukua EPL,Messi kuresign timu ya taifa na britex, pia katabiri Portugal kuchukua hili kombe.
Niko hapa kuhakikisha anafeli ila upepo sasa hivi siusomi
Mwaka wake huuuYupo anafatilia humu...kimya kimya
Uko sawa kabisa BAK. Familia ya Le Pen watapata support ya kutosha.
View attachment 365023
Ronaldo alijikuta anakuwa Kocha Msaidizi ghafla [emoji4][emoji4][emoji4]
Aliingia martial kama sikoseiHivi sub ya sissoko ilikuwaje nimeona tu kakaa bench
vizuri kabisa bila shida.Mkuu naamini majibu umeyapata..
hakuna kusoma mchezo pale,walizidiwa,ila kocha wa ureno anachokijua ni kusuka ukuta,kushambulia ni bure kbsa1st 30mins Ureno walikuwa wanawasoma France, nao wakakurupuka