Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Ureno wamenikumbusha mbali sana, kipindi cha kina Pinto, Xzaver, Nuno G, Paulista walikuwa wametulia sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ImageUploadedByJamiiForums1468187610.153735.jpg

Ronaldo alijikuta anakuwa Kocha Msaidizi ghafla [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Haaswaaaa lazima kuna kitu tunaangalia kwa u ndani zaidi hasa mimi binafsi. Hahahahaha ni burudani tuu Mtambuzi alisema ni kiwi cha macho heheh
Hahahaha
Nimekuelewa kweli hapo
Itabid nikutaftie zawadi
 
wakishinda ntamuelewa yule jamaa aliyetabiri Leicister city kuchukua EPL,Messi kuresign timu ya taifa na britex, pia katabiri Portugal kuchukua hili kombe.
Niko hapa kuhakikisha anafeli ila upepo sasa hivi siusomi
Mkuu naamini majibu umeyapata..
 
Best offence is defense. Congrats Portugal
 
Back
Top Bottom