MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
sossoko noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamwaga machozi kabisa.!View attachment 364982
View attachment 364983
View attachment 364984
Ronaldo alipoumia na kuondoka mazima [emoji27]
Kuwa na ubinadamu basi...ushabik gan wa kijinga uoTatizo Morocco tulimwambia aachane na ile michezo hataki haya,ona mmoroco kamwambia awahi hotelin chap
Yupo Safi Leo mpira unemkubali.!sossoko noma
kajipigia pasi na kupiga shuti ontarget, hapo nimemkubali. Ila wafunge sasa hii fainali mwali anaweza kuwaponyoka kwenye matutaYupo Safi Leo mpira unemkubali.!
Kabisa, wafanye mapema kupata magoli ndani ya 90 au 120.!kajipigia pasi na kupiga shuti ontarget, hapo nimemkubali. Ila wafunge sasa hii fainali mwali anaweza kuwaponyoka kwenye matuta
kajipigia pasi na kupiga shuti ontarget, hapo nimemkubali. Ila wafunge sasa hii fainali mwali anaweza kuwaponyoka kwenye matuta
Ngoja tuone hapaPole sana Mkuu, Portugal wasifanye makosa na kuamua wote kulinda goli lao na hivyo mpira kuchezewa kwenye goli lao kwa muda wote.
Acha tumseme bna,mbona hakanushi hizi taarifa wakt anazisikia,kwani nae tukimsema tutazingirwa auKuwa na ubinadamu basi...ushabik gan wa kijinga uo
hiyo mkuu high class. vitu hivyo ndio vinafanya football kuwa burdanihuyu sissoko noma kuna hii nkanifurahisha sana
![]()
Hiyo hate hata siyo ya ki michezo[emoji632] [emoji632] [emoji632] [emoji632] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mmoroco mda sio mrefu atapanda ndege
Mwambie huyo hana busara za kimichezoHiyo hate hata siyo ya ki michezo