engine rock
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,379
- 1,394
Ureno team.....piga sagna huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili la kuitwa Sisoko linacheza kinoma Leo hata pogba simuoni
Uko sahihi mama, Ribery ni Muislam mzungu.![]()
![]()
Ribery ni Mwarabu wa wapi? Ununio?
Kuwa wote waliumiaInamaana Ronaldo anajifanyisha kuumia au ni coincidence imetokea tuu hapo 1998 na hii 2016? Au hataki kucheza mpira in frace? Msimu wake hautaki acheze France? Maana hata 1998 ilikuwa France. ..
Au hapa shafti analinganisha kufananisha nini?
Jamaa ni invincible lakin shughuli yake pevuWiliam yuko vizuri hapo kati..leo si wale best loser ..full mcharo
Leo kafeli,Poguba kama hayupo
Wiliam na renato wamemfunikaKafunikwa kabisa. Sikujua angekamatika kirahisi hivyo