Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo kipa ndugu yangu,poland walikiona cha motoJamani kwani wao hawajui kupiga matuta?
tatizo kipa ndugu yangu,poland walikiona cha moto
Dah wewe acha tu,nilikuwa France team,sasa kila nikiangalia naona Portugal wamepaki ,yaani kina Payet hawapiti,nikakosa amani,ikabidi nikubali matokeo.Sasa nimekuwa OKUlikuwa wapi weye? Tulikumiss humu ndani.
HahahaDah wewe acha tu,nilikuwa France team,sasa kila nikiangalia naona Portugal wamepaki ,yaani kina Payet hawapiti,nikakosa amani,ikabidi nikubali matokeo.Sasa nimekuwa OK
Mpira bwana,yaani wewe acha tu ,best looser anabeba ndoo hivi hivi,hivi hawa UEFA waliitoa wapi hii idea ya best looser baadhi kuingia round ya pili?Hahaha
Pole tena
Kwa kweli tulikumiss
Tukaendesha msako kwenye nyuz zotee hatukukuona
HahahaMpira bwana,yaani wewe acha tu ,best looser anabeba ndoo hivi hivi,hivi hawa UEFA waliitoa wapi hii idea ya best looser baadhi kuingia round ya pili?
Dah wewe acha tu,nilikuwa France team,sasa kila nikiangalia naona Portugal wamepaki ,yaani kina Payet hawapiti,nikakosa amani,ikabidi nikubali matokeo.Sasa nimekuwa OK