Kama German akitolewa, ila German akishinda, kwa heri PortugalHakuna ubishi Ballon d'or ni ya Ronaldo this time
ureno wanaweza wakashangaza kama vile walivyoshangaza Leicecity.....Ureno wanaweza shangaza Dunia kama 2004 ya Greece
katika mashindano haya ureno hajafungwa, ila ametoa sare tu.. wasi wasi wangu akiingia na mjerumani ndo kwa heri, ila mfaransa walao anamahari pa kupitiaHao best losers wakikutana na akina Payet ndoo asubuhi tu.
Aliwahi kucheza euro moja pekeeSasa huyo Platin aliyepiga magoli 9 ndani ya Euro moja, manake Euro nyinginezo hakuambulia goli hata moja.
Au alicheza Euro moja tu hiyo hiyo aliyofunga mabao 9...?
Yes euro moja tu ya 1984 ,nawashangaa mnapomlinganisha na Ronaldo aliyepata magoli tisa baada ya kujumlisha euro zaidi ya tatuSasa huyo Platin aliyepiga magoli 9 ndani ya Euro moja, manake Euro nyinginezo hakuambulia goli hata moja.
Au alicheza Euro moja tu hiyo hiyo aliyofunga mabao 9...?
katika mashindano haya ureno hajafungwa, ila ametoa sare tu.. wasi wasi wangu akiingia na mjerumani ndo kwa heri, ila mfaransa walao anamahari pa kupitia
Double standard hizi, ila Messi aliyefikisha magoli 55 kwa mechi 133 yuko bora kuliko Batistuta mwenye magoli 54 kwa mechi 78(Argentina)??Yes euro moja tu ya 1984 ,nawashangaa mnapomlinganisha na Ronaldo aliyepata magoli tisa baada ya kujumlisha euro zaidi ya tatu
Dua la kuku hilo, yeyote hapo anakalishwa mbele ya Mreno.Ureno akiingia na yeyote tu hachomoki.
Katika timu tatu tunazozungumzia hapa,yeye ndiye kibonde.
Kwani ufaransa kafungwa na nani?
Dua la kuku hilo, yeyote hapo anakalishwa mbele ya Mreno.
Hakuna dua kwenye kabumbu.
Ni facts tu.
Huyo best loser hana chake mbele ya France.
Siku nyingine angalia live stream ata playstore kuna apps ykemsaaada jamani wengine tupo nje ya mji kabisaaaaaa
Search google.ronaldo marvelous jump.Ronaldo ana sumaku inayomuwezesha kunasa hewani? Nimezoea kuwaona wachezaji wa NBA ndo wananata hewani,lakini Ronaldo pia kaweza.
Pole sana,
Vyovyote vile uwaitavyo, Mreno ni bingwa mpya wa EURO 2016 ukweli mchungu huu.
Hamna m2 aliwai kuvuka goli5 kwa euro mojawewe aanze tu,Michel alipiga magoli tisa ndani ya Euro moja,wakati guyu Ronaldo magoli tisa euro nne,sasa hapo wapi na wapi?
Usitoke nduki tuSawa.
Tukutane hapa siku ya fainali.
Bogus and Coward say Germany will win.The brainless say Germany will lose [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So sorry mpwaaaI'm pulling for the underdog!
Go Wales go!
mkuu hyo sijaipataNahisi pia utakuwa umefurahi sana kusikia Messi kahukumiwa kifungo cha miezi 21.
Aliwahi kucheza euro moja pekee