Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Sasa huyo Platin aliyepiga magoli 9 ndani ya Euro moja, manake Euro nyinginezo hakuambulia goli hata moja.

Au alicheza Euro moja tu hiyo hiyo aliyofunga mabao 9...?
Yes euro moja tu ya 1984 ,nawashangaa mnapomlinganisha na Ronaldo aliyepata magoli tisa baada ya kujumlisha euro zaidi ya tatu
 
katika mashindano haya ureno hajafungwa, ila ametoa sare tu.. wasi wasi wangu akiingia na mjerumani ndo kwa heri, ila mfaransa walao anamahari pa kupitia

Ureno akiingia na yeyote tu hachomoki.

Katika timu tatu tunazozungumzia hapa,yeye ndiye kibonde.

Kwani ufaransa kafungwa na nani?
 
Yes euro moja tu ya 1984 ,nawashangaa mnapomlinganisha na Ronaldo aliyepata magoli tisa baada ya kujumlisha euro zaidi ya tatu
Double standard hizi, ila Messi aliyefikisha magoli 55 kwa mechi 133 yuko bora kuliko Batistuta mwenye magoli 54 kwa mechi 78(Argentina)??
 
Ureno akiingia na yeyote tu hachomoki.

Katika timu tatu tunazozungumzia hapa,yeye ndiye kibonde.

Kwani ufaransa kafungwa na nani?
Dua la kuku hilo, yeyote hapo anakalishwa mbele ya Mreno.
 
Hakuna dua kwenye kabumbu.

Ni facts tu.

Huyo best loser hana chake mbele ya France.

Pole sana,
Vyovyote vile uwaitavyo, Mreno ni bingwa mpya wa EURO 2016 ukweli mchungu huu.
 
Ronaldo ana sumaku inayomuwezesha kunasa hewani? Nimezoea kuwaona wachezaji wa NBA ndo wananata hewani,lakini Ronaldo pia kaweza.
Search google.ronaldo marvelous jump.
 
Back
Top Bottom