Yes euro moja tu ya 1984 ,nawashangaa mnapomlinganisha na Ronaldo aliyepata magoli tisa baada ya kujumlisha euro zaidi ya tatu
Maana yake ni kwamba Platin hakuwa mkali kama Ronaldo.
Platin alishindwa kuwezesha timu yake ya Taifa kufuzu Euro zaidi ya hiyo moja.
Hivyo basi, Ronaldo anastahili sifa zote. Sababu:
1. Ronaldo amewezesha timu yake ya Taifa kucheza Euro nne.
2. Ronaldo amewezesha timu yake ya Taifa kucheza nusu fainali tatu
3. Kila Euro amezitikisa nyavu.
4. Na sasa kaiingiza timu yake ya Taifa fainali.