Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
Ile yakina Figo ilikua ni hatari mkuu.Ndo ubaya huo kwamba timu yenye wachezaj kumi wabovu, ina tarajiwa iwe kali kisa mchezji mmoja excellent
Portugal ya kina figo ndo ilikuwa timu haswaa ila siyo hiii
Naona wameotea..Ngoja tuwaone robo sasaIla washa shinda huko bro
AaahIle yakina Figo ilikua ni hatari mkuu.
Lile chama mtu alikua akitia maguu anakula bao 5,ilikua ni kitu cha kawaida.Aaah
Hatari
Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira
Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona wameotea..Ngoja tuwaone robo sasa
AaahLile chama mtu alikua akitia maguu anakula bao 5,ilikua ni kitu cha kawaida.
Bruno alvesAaah
Hatari
Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira
Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
Nuno GomesAaah
Hatari
Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira
Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
HahahaBruno alves
Petit
Nuno gomes
Manuel rui Costa
Sao pinto
Kama nimeyapatia hayo majina
Yeah Mido ya kazi ile huwezi kumsahau kabisa jamaa walitisha wajipange sana Hawa majankiHahaha
Salute mkuu umekumbuka hadi petit!!!
YaanYeah Mido ya kazi ile huwezi kumsahau kabisa jamaa walitisha wajipange sana Hawa majanki
Deco,Pauleta,Miguel,Postiga ilikuwa ni hatariIle yakina Figo ilikua ni hatari mkuu.
Petit si ni mfaransa,Emmanuel PetitHahaha
Salute mkuu umekumbuka hadi petit!!!