Portugal ya Christiano Ronaldo haijakaa sawa

Portugal ya Christiano Ronaldo haijakaa sawa

Aaaah
Waliniboa kwel kwel

Mou kaja tuokoe jahaz bhana ngoja tuone
Ligi season hii ngumu sana..Huku morinho,kule wenger,ukirudi huku conte,ukisogea kulia Guardiola. Bado bingwa mtetezi anasubiri. Mwezi wa nane napaona mbali
 
Aaah
Hatari

Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira

Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
Kilichowaaribia kipindi hicho mataifa mengine kama Italy, Ujerumani, Brazil na Ufaransa nayo yalikuwa na wachezaji wazuri zaidi ndo maana wakashindwa kuchukua kombe la Dunia
 
HIVI LIGI YA URENO HAINA WACHEZAJI KWELI MPAKA KIKOSI KIWE HOVYO PALE MILDFILDER
 
halafu yule NUNO GOMES mara ya kwanza nilihisi KE lakini baadae nilibeba tv langu nikaliweka karibu na uso wangu nikaamini jamaa ni ME lakini wareno they are beautiful
 
kocha wa ureno ndo kazingua kaacha wachezeji wa maana kwenye ligi ya ureno
 
Back
Top Bottom