Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #61
Mkuu acha tu..Suker alikua hatari.Croatia ilikua Enzi za kina "Davor Suka"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha tu..Suker alikua hatari.Croatia ilikua Enzi za kina "Davor Suka"
Kweli mkuu inabidi tujipange..Wenger afanye usajili wa maana tu. Mzee bahili hatarii.Mimi ndie mshika mtutu mwenzio mkuu tujipange msimu ujao tuchukue ndoo
Ligi season hii ngumu sana..Huku morinho,kule wenger,ukirudi huku conte,ukisogea kulia Guardiola. Bado bingwa mtetezi anasubiri. Mwezi wa nane napaona mbaliAaaah
Waliniboa kwel kwel
Mou kaja tuokoe jahaz bhana ngoja tuone
Nawe pia mkuu..Usiku mwema wadau.
Kilichowaaribia kipindi hicho mataifa mengine kama Italy, Ujerumani, Brazil na Ufaransa nayo yalikuwa na wachezaji wazuri zaidi ndo maana wakashindwa kuchukua kombe la DuniaAaah
Hatari
Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira
Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
Mkuu umekosea kidogo huyo alikua anaitwa Joao PintoHahaha
Salute mkuu umekumbuka hadi petit!!!
Wajerumani hawana hamna nae huyu binadamu![emoji2] [emoji2]Mkuu acha tu..Suker alikua hatari.
Hao watu hata siwaelewi..Yan timu inacheza ilimradi tu,kiungo kimekufa kabisaHIVI LIGI YA URENO HAINA WACHEZAJI KWELI MPAKA KIKOSI KIWE HOVYO PALE MILDFILDER
Hafai kabisa..Ujeruman walitoa mchozi hivi hiviWajerumani hawana hamna nae huyu binadamu![emoji2] [emoji2]
Mkuu nawewe humjui petit!!pinto baki na petit bakiMkuu umekosea kidogo huyo alikua anaitwa Joao Pinto
Ligi yao iko vizuri sema kocha kashindwa kuunda kikosi cha maana.HIVI LIGI YA URENO HAINA WACHEZAJI KWELI MPAKA KIKOSI KIWE HOVYO PALE MILDFILDER
Aaah
Hatari
Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira
Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
Walikfika fainali EURO 2004Hivi kuna kombe lolote walishinda?