Portugal ya Christiano Ronaldo haijakaa sawa

Portugal ya Christiano Ronaldo haijakaa sawa

Aaah
Hatari

Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira

Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
Umemsahau Rui Costa? Ni kosa kubwa hilo mkuu![emoji34] [emoji34]
 
Ureno kama gari ya mkaa unafikiri inazima kumbe ndio inamaliza mlima kitonga mdogo mdogo mzigo unafika muhimu nyavu kutingishika
 
Ureno kama gari ya mkaa unafikiri inazima kumbe ndio inamaliza mlima kitonga mdogo mdogo mzigo unafika muhimu nyavu kutingishika mengine mbwembwe tu
 
Vipi hawa?
Costinha
Abel Xavier
Jorge Andrade
Vitor Baia
Mechi na Ufaransa kwenye Euro 2000 Ubelgiji& Uholanzi waliandaa kama sikosei. ufaransa walipewa penati! Mechi hiyo inaniuma hadi leo![emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom