Hapana portugal alikuwepo middle flan hvi aitwa petit naye alizaliwa ufaransa ila aliamua kuchezea urenoPetit si ni mfaransa,Emmanuel Petit
Petit alikua ni mfaransa mdau..Jembe la Arsenal hilo.Bruno alves
Petit
Nuno gomes
Manuel rui Costa
Sao pinto
Kama nimeyapatia hayo majina
Bonge la kiungo..Rui costa
Umemsahau Rui Costa? Ni kosa kubwa hilo mkuu![emoji34] [emoji34]Aaah
Hatari
Figo
Pauleta
Simao sabrosa
Deco
Carvlho
Ricardo
Maniche
Postiga
Ronaldo
costinha
Ferreira
Aaah
Wengne wamentoka ila ilikuwa bonge ya wazee wa kazi
Alikuwepo ureno kama ulikuwa ukicheki vi uropa vya miaka ya 2000 mwanzoni alikuwa kijana hodari pale benificaPetit alikua ni mfaransa mdau..Jembe la Arsenal hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umemsahau Rui Costa? Ni kosa kubwa hilo mkuu![emoji34] [emoji34]
Mkuu huyo nnaemsema mimi ni mreno labda kama hukua ukifuatilia sana sokaPetit alikua ni mfaransa mdau..Jembe la Arsenal hilo.
Huyo simkumbuki mkuu..Alikua anatumia Petit au jina jingine.Mkuu huyo nnaemsema mimi ni mreno labda kama hukua ukifuatilia sana soka
Mi nilikwambia mkuu wewe kumkumbuka huyo jamaa ni jembee maana hapa wengi wamekosa idea yake kabsaMkuu huyo nnaemsema mimi ni mreno labda kama hukua ukifuatilia sana soka
Petit kama nilivyoliandika jaribu kumcheki mimi nimfuatiliaji wasiku nyingi sana mkuu siwezi kukosea kwenye hiliHuyo simkumbuki mkuu..Alikua anatumia Petit au jina jingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Game ilikuwa kama mazoezi![emoji16] [emoji16]
Uko sawa mkuu nimemuona..Ila hakua first 11 labda ndo mana hajulikan sanaPetit kama nilivyoliandika jaribu kumcheki mimi nimfuatiliaji wasiku nyingi sana mkuu siwezi kukosea kwenye hili
Hakuna team pale..Angalau hata Crotia walikua wanajitutumua.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gem ya leo nimecheka kweli
Sija zifurahia dakika 116
Ila 3 za mwisho ndo nme enjoy
Mkuu nani kakuambia Petit hajulikani sana sema wewe hukumjua huyo katwanga sana pale urenoUko sawa mkuu nimemuona..Ila hakua first 11 labda ndo mana hajulikan sana