Talent_2017
Member
- Aug 23, 2016
- 79
- 189
Una laki2 na nusu kwa kila moja nikuunganishe na mtuHeri ya krismasi ndugu zangu
Nina shida na pos/mashine za uwakala wa bank NMB na CRDB.
Nimefuatilia bank sasa hivi hawatoi hizi mashine, wanaunganisha kwa njia ya simu na sehemu nlipo wengi wanakadi
Kama una ndugu yako ambaye anazo na hazitumii naomba niunganishe nae
Nina 200,000 kwa kila mojaUna laki2 nanusu kwa kila moja nikuunganishe na mtu
NoNina 200,000 kwa kila moja
Boss niunganishe Mimi ntatoa hiyo pesaUna laki2 nanusu kwa kila moja nikuunganishe na mtu
Ndio mkuuUna laki2 nanusu kwa kila moja nikuunganishe na mtu
Huyu anataka akupige mkuu 250k wakati Kuna jamaa juzi alimvua mtu kwa 1.1mMimi nahitaji Tena kwa 250k ni cheap sana kupata POS ya NMB mfano Mimi nimemvua mtu POS ya NMB kwa 1m kama una NMB naweka dau la 500k ila iwe Ile ya Smart
Eleweni, huyo jamaa hana hizo pos, ametaja dau hilo ili akuunganishe na mwenye hizo "pos". 250,000/= ni "agency fee"Huyu anataka akupige mkuu 250k wakati Kuna jamaa juzi alimvua mtu kwa 1.1m
Mjini shule, wakikaa vibaya ni knockoutEleweni, huyo jamaa hana hizo pos, ametaja dau hilo ili akuunganishe na mwenye hizo "pos". 250,000/= ni "agency fee"
Usitoe siri sasa je muuzaji akipandisha beiMimi nahitaji Tena kwa 250k ni cheap sana kupata POS ya NMB mfano Mimi nimemvua mtu POS ya NMB kwa 1m kama una NMB naweka dau la 500k ila iwe Ile ya Smart
Hupati zinapatikana kwa mchongo sanaHizi bank zimelala sana...kama taasisi za serikali yan POS zina mchakato mgumu utazan wafatilia passport au kitambulisho cha nida.
Hasa Benki ya NMB ndio kasheshe kupata POS yaoHizi bank zimelala sana...kama taasisi za serikali yan POS zina mchakato mgumu utazan wafatilia passport au kitambulisho cha nida.
Hawatoi kabisa sasa hv nimebembeleza sana mpk dau nmewawekea ila wapi. Wamekuja na huduma ya Nmb mobile kwa wakalaHasa Benki ya NMB ndio kasheshe kupata POS yao
Imekuwa ajira????...mpaka uwe na connectionHupati zinapatikana kwa mchongo sana
Umeshtuka.Amosi msigwa na rukie naona mmeamua mcheze na fursa kupitia kwangu [emoji3]
Mzee hiyo POS ni nin nipen shule tofauti na nmb mobile wakalaHasa Benki ya NMB ndio kasheshe kupata POS yao