Pos/Mashine za uwakala wa bank NMB & CRDB

Pos/Mashine za uwakala wa bank NMB & CRDB

Talent_2017

Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
79
Reaction score
189
Heri ya krismasi ndugu zangu

Nina shida na pos/mashine za uwakala wa bank NMB na CRDB.
Nimefuatilia bank sasa hivi hawatoi hizi mashine, wanaunganisha kwa njia ya simu na sehemu nilipo wengi wana kadi.

Kama una ndugu yako ambaye anazo na hazitumii naomba niunganishe nae.
 
Heri ya krismasi ndugu zangu

Nina shida na pos/mashine za uwakala wa bank NMB na CRDB.
Nimefuatilia bank sasa hivi hawatoi hizi mashine, wanaunganisha kwa njia ya simu na sehemu nlipo wengi wanakadi

Kama una ndugu yako ambaye anazo na hazitumii naomba niunganishe nae
Una laki2 na nusu kwa kila moja nikuunganishe na mtu
 
Mimi nahitaji Tena kwa 250k ni cheap sana kupata POS ya NMB mfano Mimi nimemvua mtu POS ya NMB kwa 1m kama una NMB naweka dau la 500k ila iwe Ile ya Smart
Huyu anataka akupige mkuu 250k wakati Kuna jamaa juzi alimvua mtu kwa 1.1m
 
Mimi nahitaji Tena kwa 250k ni cheap sana kupata POS ya NMB mfano Mimi nimemvua mtu POS ya NMB kwa 1m kama una NMB naweka dau la 500k ila iwe Ile ya Smart
Usitoe siri sasa je muuzaji akipandisha bei
 
Hizi bank zimelala sana...kama taasisi za serikali yan POS zina mchakato mgumu utadhani wafatilia passport au kitambulisho cha nida.
 
Back
Top Bottom