Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sio kweli, nimemuona mpaka mchana huu baada ya. Bunge kubreak for lunchwakuu nasikia mwakyembe kukamatwa na PCCB muda mfupi kabla ya repoti ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu richmonduli kusomwa, ili asiwepo mjadalani
au ndo maana zito kawai kuhojiwa ili awe na uhakika wa kuwepo mjadalani?
am justi kyurias
wala sio wa haraka maana hoja itakayosomwa inawahusu PCCB sasa lazima wawepo pale...Ujio huu wa ghafla wa Dr. Hosea hapa Viwanja vya bunge mjini Dodoma, kumepata tafsiri mbili za haraka haraka, ya kwanza ni amekuja kukata mzizi wa fitna kumaliza malumbano ya nani zaidi kati ya Takukuru na Bunge kuhoji sakata la posho mbili mbili.
Ujio huu umetafsiriwa ni mwitikio wa kilio cha wabunge kuhusu kuhojiwa na maofisa wadogo, na mahali pasipo na hadhi, kwenye jengo la Takukuru na kukutafsiri hivyo ni kudhalilishwa. Hivyo sasa Hosea mwenyewe ameingia kazini na ataanzia kwa kumhoji Sitta, akifuatiwa na Mwakiembe, tena mahojiano hayo atayafanyia ofisi za bunge zenye hadhi stahiki yao.
Ujio huu wa Hosea ni uthibitisho kuwa anajiamini, na anajua atendalo, na amini nawaambie sio Sitta wa Mwakiembe atakayethubutu kukohoa, ni kuufyata tuu na kuhojiwa.
Hivi CIA na FBI ziko chini ya nani kwa USA?
Kuna haja ya kufanya kama walivyo USA na UK. Hivi vyombo viwe vinajitegemea na boss wao awe anachaguliwa na wafanyakazi wenyewe.
Wabunge wanatakiwa KUPUNGUZA madaraka ya RAIS kwa kuanzia kwamba, PM achaguliwe bungeni na chama kilichoshinda. Na PM mwenyewe ndiyo achague timu yake ya Mawaziri. Haya mambo ya PM anachaguliwa Mawaziri ni UPUUZI na USANII.
TAKURURU inaweza kuwa chini ya PM au Rais ila UWT inabidi iwe inajitegemea na haisumbuliwi na mtu na boss wao akichaguliwa basi ili kumuondoa inabidi uamuzi wa Wabunge asilimia 80 na mahakama kuu na awe akishika kwa kipindi kirefu ili Rais mpya akija asiwe na nguvu naye tena. Huko kuwe na vijana wanaofahamu kazi zao haswa haswa........
Nafahamu kuwa hata FBI huwa wana uchafu wao. Ila hawa jamaa wanaidia sana kutunza nidhamu ya Wananchi na viongozi. Ukiangalia ile film ya Misisipi Burning, ndiyo utaona kuwa hata akina KKK kama si FBI basi jamaa wangeliendelea kutesa hadi leo.
Wahujumu uchumi hasa kama akina Richmonduli na Wa-Iran wangelikuwa wakidakwa mapema na pesa zao zinadakwa. Huyo candidate wao wanayetaka kumleta madarakani anaondolewa mapema kabisa au hata kuchapwa Risasi........ For Tanzania Interest.
wakuu nasikia mwakyembe kukamatwa na PCCB muda mfupi kabla ya repoti ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu richmonduli kusomwa, ili asiwepo mjadalani
au ndo maana zito kawai kuhojiwa ili awe na uhakika wa kuwepo mjadalani?
am justi kyurias
Mwanakijiji:
Listen to how masterful you are at defending your position when your mind is made up and you are not prepared to entertain any views to the contrary - whether those views are valid or not:
Kama posho zimetolewa kwa wabunge bila kufuwata sheria kama TK alivyoandika:
1. Posho walizotoa Takukuru kwa wabunge hazi kutolewa mara mbili. Ofisi ya Bunge haikuwalipa posho wabunge ku attend seminar hiyo. Kwa hiyo ni Takukuru tu ndio iliyowalipa.
wewe ukajaribu ku argue kuwa hapa sheria haikuvunjwa:
Lakini TK alipojaribu kuonyesha jinsi sheria ilivyovunjwa pale aliposema:
3. Kwa sheria za Takukuru, kupokea pesa bila kuzitolea jasho ni rushwa.
Wewe ukageuga mara moja na ku-dismiss the importance of existing laws (so you can win this argument I suppose) when you responded by suggesting:
Poor TK, he will never win this debate at this rate! He is doomed if he ignores the law and he is doomed if he follows the law! Stupid me, I was under the impression that your main line of argument throughout this entire debate was essentially that the PCCB did not follow existing laws when they requested an interview with Dr Mwakyembe. What I didn't know was the fact that your use of the law argument is arbitrary and selective!
Now based on these minor observations, would I be stretching the truth if I concluded that you a devout adherent of the philosophical doctrine that says: My mind is made up, don't confuse me with the facts!
"Nani hajui kama wewe pesa za mafisadi zimekufikia?.Suala la kupokea posho mara 2 limeanza leo?.Basi wachunguze tangia bunge limeanza. Na je yale maazimio 23 akiwemo Osea kujihuzulu imekuaje kugongona na ilo la posho za wabunge, kwani osea amekuwa mkuu wa takukuru leo, alikuwa wapi siku zote?.Wewe ni mmojawapo wa mafisadi.
ngoja nihame thread, hii huyu jama Pasco anakera na mawazo yake
Kabuche, naomba usikereke ndio uhuru wa JF, hapa ndio mahala pekee penye absolute freedom of expression. Ukifungua thread ukiona pumba, ama unapepeta, ama ufafunga, ama unahamia pengine, haulazimiki/shwi kusoma chochote, kujibu chochote, na una uhuru kusoma vyote, kujibu chochote, mpaka uhuru wa kutosoma kabisa, kukaa kimya kabisa ama kutoingia kabisa JF, ni uhuru wako tuu.jamaa unakera na hoja zako
, ukikereka, unasema kero yako, kama umekereka sana mpaka huwezi kusema, unajihamia tuu thread, huna haja ya kuaga.ngoja nihame thread, hii huyu jama Pasco anakera na mawazo yake