Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

K
wakuu nasikia mwakyembe kukamatwa na PCCB muda mfupi kabla ya repoti ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu richmonduli kusomwa, ili asiwepo mjadalani

au ndo maana zito kawai kuhojiwa ili awe na uhakika wa kuwepo mjadalani?

am justi kyurias
Sio kweli, nimemuona mpaka mchana huu baada ya. Bunge kubreak for lunch
 
Hivi CIA na FBI ziko chini ya nani kwa USA?

Kuna haja ya kufanya kama walivyo USA na UK. Hivi vyombo viwe vinajitegemea na boss wao awe anachaguliwa na wafanyakazi wenyewe.

Wabunge wanatakiwa KUPUNGUZA madaraka ya RAIS kwa kuanzia kwamba, PM achaguliwe bungeni na chama kilichoshinda. Na PM mwenyewe ndiyo achague timu yake ya Mawaziri. Haya mambo ya PM anachaguliwa Mawaziri ni UPUUZI na USANII.

TAKURURU inaweza kuwa chini ya PM au Rais ila UWT inabidi iwe inajitegemea na haisumbuliwi na mtu na boss wao akichaguliwa basi ili kumuondoa inabidi uamuzi wa Wabunge asilimia 80 na mahakama kuu na awe akishika kwa kipindi kirefu ili Rais mpya akija asiwe na nguvu naye tena. Huko kuwe na vijana wanaofahamu kazi zao haswa haswa........

Nafahamu kuwa hata FBI huwa wana uchafu wao. Ila hawa jamaa wanaidia sana kutunza nidhamu ya Wananchi na viongozi. Ukiangalia ile film ya Misisipi Burning, ndiyo utaona kuwa hata akina KKK kama si FBI basi jamaa wangeliendelea kutesa hadi leo.

Wahujumu uchumi hasa kama akina Richmonduli na Wa-Iran wangelikuwa wakidakwa mapema na pesa zao zinadakwa. Huyo candidate wao wanayetaka kumleta madarakani anaondolewa mapema kabisa au hata kuchapwa Risasi........ For Tanzania Interest.
 
Ujio huu wa ghafla wa Dr. Hosea hapa Viwanja vya bunge mjini Dodoma, kumepata tafsiri mbili za haraka haraka, ya kwanza ni amekuja kukata mzizi wa fitna kumaliza malumbano ya nani zaidi kati ya Takukuru na Bunge kuhoji sakata la posho mbili mbili.

Ujio huu umetafsiriwa ni mwitikio wa kilio cha wabunge kuhusu kuhojiwa na maofisa wadogo, na mahali pasipo na hadhi, kwenye jengo la Takukuru na kukutafsiri hivyo ni kudhalilishwa. Hivyo sasa Hosea mwenyewe ameingia kazini na ataanzia kwa kumhoji Sitta, akifuatiwa na Mwakiembe, tena mahojiano hayo atayafanyia ofisi za bunge zenye hadhi stahiki yao.

Ujio huu wa Hosea ni uthibitisho kuwa anajiamini, na anajua atendalo, na amini nawaambie sio Sitta wa Mwakiembe atakayethubutu kukohoa, ni kuufyata tuu na kuhojiwa.
wala sio wa haraka maana hoja itakayosomwa inawahusu PCCB sasa lazima wawepo pale...
 
Hivi CIA na FBI ziko chini ya nani kwa USA?

Kuna haja ya kufanya kama walivyo USA na UK. Hivi vyombo viwe vinajitegemea na boss wao awe anachaguliwa na wafanyakazi wenyewe.

Wabunge wanatakiwa KUPUNGUZA madaraka ya RAIS kwa kuanzia kwamba, PM achaguliwe bungeni na chama kilichoshinda. Na PM mwenyewe ndiyo achague timu yake ya Mawaziri. Haya mambo ya PM anachaguliwa Mawaziri ni UPUUZI na USANII.

TAKURURU inaweza kuwa chini ya PM au Rais ila UWT inabidi iwe inajitegemea na haisumbuliwi na mtu na boss wao akichaguliwa basi ili kumuondoa inabidi uamuzi wa Wabunge asilimia 80 na mahakama kuu na awe akishika kwa kipindi kirefu ili Rais mpya akija asiwe na nguvu naye tena. Huko kuwe na vijana wanaofahamu kazi zao haswa haswa........

Nafahamu kuwa hata FBI huwa wana uchafu wao. Ila hawa jamaa wanaidia sana kutunza nidhamu ya Wananchi na viongozi. Ukiangalia ile film ya Misisipi Burning, ndiyo utaona kuwa hata akina KKK kama si FBI basi jamaa wangeliendelea kutesa hadi leo.

Wahujumu uchumi hasa kama akina Richmonduli na Wa-Iran wangelikuwa wakidakwa mapema na pesa zao zinadakwa. Huyo candidate wao wanayetaka kumleta madarakani anaondolewa mapema kabisa au hata kuchapwa Risasi........ For Tanzania Interest.

Mkuu,

CIA wapo chini ya ofisi ya raisi na FBI wapo chini ya Department of Homeland Security.

Hizi idara kama za FBI kwa Marekani au MI5 ya Uingereza ambazo zinahusiana na usalama na pamoja na kuzuia ufisadi zote zipi chini ya wizara za mambo ya ndani au nchi zingine wanaita Interior Ministry.

Uingereza kwa mfano wana vyombo kama SOCA na SFO ambazo zinawajibika kwa Home Office yao ambapo ni waziri ndie anateua mkurugenzi wake mkuu na kumtimua iwapo hatatimiza wajibu wake.
 
Nchi yetu inataaka mapindduzi ya kisiasa na kama hili la Buna na TAKUKURU litasaidia kuleta mpasuko utakaosababisha mapinduzi chanya basi hiyo ndiyo itakuwa furaha yangu.
 
wakuu nasikia mwakyembe kukamatwa na PCCB muda mfupi kabla ya repoti ya utekelezaji wa maazimio ya bunge kuhusu richmonduli kusomwa, ili asiwepo mjadalani

au ndo maana zito kawai kuhojiwa ili awe na uhakika wa kuwepo mjadalani?

am justi kyurias



Hivi kama haya mambo yatakuwa kama walivyoyapanga basi imekula kwetu kwani tunachotakiwa Wana JF kama inawezekana ili mambo yaende kama yalivyopangwa......kumkamata Mwakyembe sio solution ya mambo sammos ipo au ndo ka game kanataka kuchezwa?
 
Mwanakijiji:

Listen to how masterful you are at defending your position when your mind is made up and you are not prepared to entertain any views to the contrary - whether those views are valid or not:

Kama posho zimetolewa kwa wabunge bila kufuwata sheria kama TK alivyoandika:
1. Posho walizotoa Takukuru kwa wabunge hazi kutolewa mara mbili. Ofisi ya Bunge haikuwalipa posho wabunge ku attend seminar hiyo. Kwa hiyo ni Takukuru tu ndio iliyowalipa.
wewe ukajaribu ku argue kuwa hapa sheria haikuvunjwa:



Lakini TK alipojaribu kuonyesha jinsi sheria ilivyovunjwa pale aliposema:
3. Kwa sheria za Takukuru, kupokea pesa bila kuzitolea jasho ni rushwa.
Wewe ukageuga mara moja na ku-dismiss the importance of existing laws (so you can win this argument I suppose) when you responded by suggesting:



Poor TK, he will never win this debate at this rate! He is doomed if he ignores the law and he is doomed if he follows the law! Stupid me, I was under the impression that your main line of argument throughout this entire debate was essentially that the PCCB did not follow existing laws when they requested an interview with Dr Mwakyembe. What I didn't know was the fact that your use of the law argument is arbitrary and selective!

Now based on these minor observations, would I be stretching the truth if I concluded that you a devout adherent of the philosophical doctrine that says: “My mind is made up, don't confuse me with the facts!”

Ahsante ndugu yangu. Tutafika tu. Kuelimishana ni process ndefu na ngumu. Kwa baadhi ya watu, emmotions zao ndizo hutawala zaidi kuliko ukweli na huwa hawaukubali ukweli hata wakiuona hivi.

Nilicho notice hapa JF ni kuwa, kuna heavy weights wachache ambao wana mvuto mkubwa. Mara nyingi wana mawazo mazuri lakini wakati mwingine huteleza na kuweka vitu visivyo na mantiki. La kusikitisha ni kuwa hata wakiweka kitu kisicho eleweka, wengine hufuata mkumbo na pongezi kwa wingi. Kama ule usemi wa "..................inawenyewe."
 
Kusudio la mafisadi limeshatimia,watu wamehamishwa mawazo yao kutoka azimio la bunge kuhusu Richmond na sasa ni posho mbili au nani zaidi kati ya Bunge na PCCB.
Hii ni sawa na safari ya Dar- Bagamoyo na dereva akawaambia tupitie Songea kidogo. Hapo ujue hamfiki Bagamoyo na hata nia haipo
 
hakuna kipya hapo, miTanzania tulivyowajinga tumeshasahahu yote ya Ricmond, TRL, Rada, Dowans, IPTL, Kiwira, na mengineyo sasa tupo kwenye posho mbilimbili,
hawa jamaa (CCM) wanatutwist akili wanavyotaka
 
Wabunge na Spika wao wameonyesha kiburi kikubwa sana kwenye hili. Hawataki kuhojiwa na at the same time Sitta anasema "itifaki" ya kuendelea kuchukua posho mbili itaendelea. ironically ndio hao hao tunawashabikia kuwa ni "wapiganaji" ajabu!

Hii inajenga very bad precedence, kwa wabunge kujiona wapo juu ya sheria na wanaweza mtisha yeyote kwa sababu tu wao ni wabunge. Leo tunashabikia kwa sababu hatumtaki Hosea, lakini kesho yatamkuta tunae mtaka tutakosa pa kusemea.

Jamani sheria msumeno tuwazomee bila soni wachukua posho mbili ni mafisadi kama mafisadi wengine tu.
 
"Nani hajui kama wewe pesa za mafisadi zimekufikia?.Suala la kupokea posho mara 2 limeanza leo?.Basi wachunguze tangia bunge limeanza. Na je yale maazimio 23 akiwemo Osea kujihuzulu imekuaje kugongona na ilo la posho za wabunge, kwani osea amekuwa mkuu wa takukuru leo, alikuwa wapi siku zote?.Wewe ni mmojawapo wa mafisadi.

Mbona matusi kwa wingi ndugu yangu? Hapa tuko katika kubadilishana mawazo kwani si utaratibu wa kawaida wa kimaisha kuwa sote tuwe na mawazo ya aina moja. Hayo niliyo quote ni yale aliyosema Hosea (sio Osea!!). Sasa mimi ufisadi wangu ni nini? Kukubaliana naye tu ndio ufisadi? Hizo pesa za mafisadi zimenifikia lini wapi na kwa ushahidi gani?

Acha kuchanganya mambo. Wewe subiri tu, maazimio ya Bunge siyataletwa Bungeni? Yakigongana yasigongane hilo ni jukumu la serikali na Bunge.

Kosa lolote likitendeka lazima kuna muda wake wa kulishughulikia. Sasa kwa kuwa kosa hili lilikuwa lifanyika miaka yote huko nyuma basi laichiwe tu liendelee? Kwani hujui usemi wa wahenga kuwa mwizi siku zake ni 40?
 
Kwa msiomjua Samwel Sitta mtapata taabu sana. Mwanasiasa huyu mkongwe ni laghai, mjanja na mwenye hila nyingi.

Hii crusade aliyojitwika ukinara wa mapambano ya ufisadi siku mtakayo tanabahi na kujua jamaa alikuwa msanii mtachoka sana.

Kwa sasa acha tu enjoy hii comedy kwanza;



untitledbmpSittaVHosea.jpg


Waarabu wa pemba.......



untitledbmpHoseaVSitta2.jpg


...... aaah dont worry wakati mwingine natoe kibesi ili kujijenga si unajua uchaguzi mwakani jamaa wamenikalia vibaya jimboni huko...



Sitta.jpg


Je na hapo "itifaki" imezingatiwa?


Picha zote kwa hisani ya Brother Michuzi
 
sasa why asingeanza bungeni kupiga yowe akaita media then anakuja huku kirafiki so what,nae six na vijana wake then watampokeaje kumsifu kwa alliyonena jana au kumshutumu au kumrekebisha au kumweka sawa? hapa tz ndo nsema kazi ipo huwezi jua the game behind
 
jamaa unakera na hoja zako
Kabuche, naomba usikereke ndio uhuru wa JF, hapa ndio mahala pekee penye absolute freedom of expression. Ukifungua thread ukiona pumba, ama unapepeta, ama ufafunga, ama unahamia pengine, haulazimiki/shwi kusoma chochote, kujibu chochote, na una uhuru kusoma vyote, kujibu chochote, mpaka uhuru wa kutosoma kabisa, kukaa kimya kabisa ama kutoingia kabisa JF, ni uhuru wako tuu.
 
ngoja nishuke bustanini kwangu nikang'oe karoti mara moja.
 
Kuona hizi picha sasa naanza kumwamini Pasco aliyoelezea.

Bado nina imani kubwa na Kamati nzima ya Mwakyembe pia
na Kamati ya Madini kwani wale wako smart. Ebu tuangalie
inavyokwenda.
 
Hawa Ngosha wanatuangusha.

Sasa huu ufisadi wakati mikoa yao na hasa Sitta, imechoka utafikiri Yala masikini wa Darfur, tutafika kweli jamani?

Ona wanavyochekeana. Hawa walitakiwa kuwa hata hawafahamiani. Sasa sijui maongezi yalikuwa "Unasemagaje bwana mdogo.... ulimpola gete gete?"
 
Back
Top Bottom