Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
.halafu ameweka pale kwenye board kama breaking news-------what is that
Kwani breaking news ni nini? Kwa kukusaidia tuu, breaking news ni habari yoyote unapoipata pale tuu inapo break. Bunge linadai wabunge wako juu ya sheria ya haki, kinga na madaraka ya Bunge hawawezi kuhojiwa. Jana Hosea kawatunishia msuli hakuna aliye juu ya sheria, lazima wahojiwe. Kesho serikali inawekwa kikaangoni kuulizwa kwanini Hosea hawajibishwa, leo ghafla bin vuu, Hosea huyo, ametinga bungeni, na kukumbatiana na Spika, breaking news ni pale tuu alipotinga bungeni na kesho ni issue yake.
Hata wewe kabuche, ikitokea umeibukia ghafla kwenye kabucha kaliko andikwa jina la kabuche, na mtu wa bucha akakubucha kidogo, nashuka na breaking news ya
'kabuche abuchwa kwenye kabucha cha kabuche' na inasimama, itakuwa hii ya Hosea?.