Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

halafu ameweka pale kwenye board kama breaking news-------what is that
.
Kwani breaking news ni nini? Kwa kukusaidia tuu, breaking news ni habari yoyote unapoipata pale tuu inapo break. Bunge linadai wabunge wako juu ya sheria ya haki, kinga na madaraka ya Bunge hawawezi kuhojiwa. Jana Hosea kawatunishia msuli hakuna aliye juu ya sheria, lazima wahojiwe. Kesho serikali inawekwa kikaangoni kuulizwa kwanini Hosea hawajibishwa, leo ghafla bin vuu, Hosea huyo, ametinga bungeni, na kukumbatiana na Spika, breaking news ni pale tuu alipotinga bungeni na kesho ni issue yake.

Hata wewe kabuche, ikitokea umeibukia ghafla kwenye kabucha kaliko andikwa jina la kabuche, na mtu wa bucha akakubucha kidogo, nashuka na breaking news ya
'kabuche abuchwa kwenye kabucha cha kabuche' na inasimama, itakuwa hii ya Hosea?.
 
Mkuu Pasco heshima mbele sana, bado hawajamaliza lunch tu mkuu au ndo wameenda kuongea ndani kwa ndani hakuna access?

thanks mkuu wa news kama kawaida, si wazoefu tunajua mambo yako ni mazito
 
pasco anaumwa ngiri....oh
Magezi, tuenende kwenye hoja, usinishambulie mimi pasco, shambulia hoja zangu, bonda, kosoa, au ingnore, kunisema ninaumwa ngiri, suppose ni kweli mimi nina ugojwa wa ngiri, how does it feel kuniexpose mimi naumwa ngiri, huu ni ugojwa kwani niliuomba?. Naomba Turudi kwenye hoja, sio kutukanana.
 
Mkuu Pasco heshima mbele sana, bado hawajamaliza lunch tu mkuu au ndo wameenda kuongea ndani kwa ndani hakuna access?

thanks mkuu wa news kama kawaida, si wazoefu tunajua mambo yako ni mazito
.
Tuliishia nje, walipoingia ndani, habari ikaishia hapo, nasubiri kesho saa 3 asubuhi nikimuona tuu bungeni, nitathibitisha amekuja kusikiliza hoja za Richmond.
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa kesho hoja hiyo isiwepo maana usiku huu kuanzia saa 2, Kamati ya Mwinyi inawaweka kitako, wabunge wote wa CCM kwenye kikao cha siri.

Kesho kama Richmond haijadiliwi, Spika Sitta atakuwa ameadabishwa kwenye kikao cha leo usiku.

Kuna wengi humu wanaondanganyika na talalila za wanaojiita makamanda wa ufisadi, kwanza sio wote ni makamanda kweli, wengine ni kelele tuu, wengine wana ajenda zao na wengine nao pia ni mafisadi vile vile, ila tuu wanatofautiana viwango. Ukweli utajulikana Alhamisi hii Bungeni maana Ijumaa Spika anaongoza Mazishi ya Mhe. Ng'itu.

Kama Hosea kaja yeye kumhoji Mwakiembe, there is no way out, lazima ahojiwe vinginevyo cha moto atakiona.
 
halafu ameweka pale kwenye board kama breaking news-------what is that

jamani msameheni kama yuko BAHI na Labda net imeingia jana haki kuitwa breaking nus
 
Wahujumu uchumi hasa kama akina Richmonduli na Wa-Iran wangelikuwa wakidakwa mapema na pesa zao zinadakwa. Huyo candidate wao wanayetaka kumleta madarakani anaondolewa mapema kabisa au hata kuchapwa Risasi........ For Tanzania Interest.
.
Hii ni hoja nzuri, mafisadi na candidate wao wanayetaka kumleta madarakani, anaondolewa mapema kabisa au hata kuchapwa risasi, jee unaonaje kama tutatunga sheria hii kali, na utekelezaji wake uanzie retrorespective tukianzia kwa mafisadi waliobuni EPA na kampuni yao ya Kagoda, na mgombea wao, na mbinu chafu walizotumia kufika hapo walipo, will it be ok?. Tusafishe uchafu wote tangu kwenye mizizi, sio kutaka kusafisha uchafu wa tope zito kwa maji taka.
 
Pasco said:
Kama Hosea kaja yeye kumhoji Mwakiembe, there is no way out, lazima ahojiwe vinginevyo cha moto atakiona.

Pasco,

..Mwakyembe na majivuno yake kwamba amesoma sana atakubali kuhojiwa kweli?

..hivi mchango wa Mwakyembe ktk taaluma ya sheria unalingana na magwiji wa fani kama Shivji, Chris Peter Maina, Mgongo-Fimbo, Kanywanyi,..
 
Unajua nimesoma maelezo kwa kina lakini? Mimi naona hapa kuna Danganya toto. Kwani kweli wabunge wamechukua Posho mbili Lakini Mhe. Hoseah anasema katika maelezo yake nanukuu ""Takukuru ilipata taarifa hizo na ilifanya uchunguzi wa msingi kwa kutumia taratibu zake na matokeo ya uchunguzi umeonyesha kuwa tuhuma hizo zinaelekea kuwa ni za kweli"" Je kwa maelezo haya kuna kitu kweli? Kwa maana Waheshimiwa kweli wamechukua Posho mbili sasa wewe unasema tuhuma zinaelekea kuwa kweli mmhh!! Hivi mtu akikuuliza wewe una mdomo wewe utamjibu vipi?? Wana JF wapenda maendeleo na wapinga ufisadi wa weka Herufi tatu tuwe makini na hili. asante tusisapoti tuu kuona watu wanalumbana ili kwenye uchaguzi ujue ah!! ah!! weka Herufi tatu imefanya hili ooohh!! mimi siongei nakaa nyuma ya mlango niangalie kitakachofuata...............................Mh. mkuu wa nchi kuwa makini na wanakuhujumu.............

Huyu jamaa yaani ameamua kwenda Dodoma Kabisa
Nashawishika na hoja yako mkuu, hapa tunachezewa komedi tu hakuna cha maana. Kama kweli TAKUKURU walifanya uchunguzi tena wa msingi kwa mujibu wa nukuu yako, sioni kwa nini matokeo yawe kulabdisha tu. Wanachotakiwa kutueleza hawa TAKUKURU ni kwamba walichunguza nini na wamebaini na kuendelea na taratibu zinazofuata. LAKINI KWA SABABU NI WALE WALE SISHANGAI. Nadhani neno "inaelekea" limetumika kama mlango wa kutorokea in case of anything
 
Mod, naomba badili headline ya thread, ilikuwa breaking news pale ilipobreak, saa hizi sio breaking tena na sio developing story.
 
.
Tuliishia nje, walipoingia ndani, habari ikaishia hapo, nasubiri kesho saa 3 asubuhi nikimuona tuu bungeni, nitathibitisha amekuja kusikiliza hoja za Richmond.
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa kesho hoja hiyo isiwepo maana usiku huu kuanzia saa 2, Kamati ya Mwinyi inawaweka kitako, wabunge wote wa CCM kwenye kikao cha siri.

Kesho kama Richmond haijadiliwi, Spika Sitta atakuwa ameadabishwa kwenye kikao cha leo usiku.

Kuna wengi humu wanaondanganyika na talalila za wanaojiita makamanda wa ufisadi, kwanza sio wote ni makamanda kweli, wengine ni kelele tuu, wengine wana ajenda zao na wengine nao pia ni mafisadi vile vile, ila tuu wanatofautiana viwango. Ukweli utajulikana Alhamisi hii Bungeni maana Ijumaa Spika anaongoza Mazishi ya Mhe. Ng'itu.

Kama Hosea kaja yeye kumhoji Mwakiembe, there is no way out, lazima ahojiwe vinginevyo cha moto atakiona.

Todays Menu:

1. Dr. Hoseah is back in Dar smilling - 6:30 pm EAT na Vogue lake

2. Sitta aahidi kuto ushirikiano wa hali ya juu kufanikisha zoezi la wabunge kuhijowa. Na amehidi kuwaasa wabunge hasa wa CMM kuto ushirikiano wa hali ya juu ili wasipe wapinzani sababu ya kuwabeza 2010.

3. Dr. Hoseah aahidi "kutokuwadhalilisha" wabunge katika utekelezaji wa zoezi la "2xPosho".

4. Serikali haina zaidi la kusema/kuongezea kuhusu utelelezaji wake wa maazimio ya kamati ya bunge kuhusu Richmond.

5. Kamati ya bunge ya Richmond yaafiki msimamo wa serikali.

6. Mijadala ya Richmond na "2xPosho" imefungwa!

Status quo iko pale pale. Ama kweli Bongoland, Mafisadi 2 Walalahoi 0, na mpira umekwisha
Bring another topic/start another thread
 
Tuesday Nov 03, 2009

11_09_29xc8j.jpg
THE Speaker of the National Assembly, Mr Samuel Sitta (right) and Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Director General, Dr Edward Hosea, in talks at Parliament buildings in Dodoma today. PCCB is investigating members of parliament alleged to have been paid allowances in questionable circumstances. (Photo by Mwanakombo Jumaa)
 
Mambo si hayo sasa, tumalize haya malumbano na kila mtu akafanye shughuli zake
 
I doubt kama watu wanaona vizuri ile picha ya juu Sitta amekubatiwa yeye hajamkubatia mikono yake iko chini, Kwa sababu hosea ni kilaza nafikiri amemkubatia kwa nghafla bila Spika kujua, lakini kicheko cha Sitta kinaweza kuwa kinaonyesha kumshangaa jamaa like what is this fool trying to do!!, picha ya pili ni watu wanaonekana kutembea lakini mmoja not comfotable na Hosea anaonekana kama actor ile smile siyo genuine ya pili bado siyo serious talk I bet Sitta atamkaaga Hosea comes sun comes rain!!
 
ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Wapambanaji dhidi ya ufisadi teh tehhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

we are very cheap .
 
Nilicho notice hapa JF ni kuwa, kuna heavy weights wachache ambao wana mvuto mkubwa. Mara nyingi wana mawazo mazuri lakini wakati mwingine huteleza na kuweka vitu visivyo na mantiki. La kusikitisha ni kuwa hata wakiweka kitu kisicho eleweka, wengine hufuata mkumbo na pongezi kwa wingi. Kama ule usemi wa "..................inawenyewe."

TK,
Having recently joined JF as the new kid on the block, I also happen to enjoy reading Mwanakijiji’s contributions and I do agree with his point of view in some but not all. He is actually a breath of fresh air and a class act. The dude rocks mightily!!!!

Ni lazima wakati mwingine tutambuage muchango wake kwa jamii na kumupatia sifa zake.

In the short few months I have actively contributed to some of the discussions, I have found Mkjj to be a good debater and reasonably fair-player so if you are holding any grudges towards him or any of his ideas the best approach is to stop beating around the bush, just tell him to his face what it is that really pisses you off (Is this a proper English phrase?). As the saying goes, he does not seem to fly off the handle at the drop of a hat. Mkjj is a “big boy” that can deal with any criticism thrown at him not only without complaining, but also with a sense of grace and appreciation.

Having said that, I am sure he would be the first to admit that God he definitely is not, not even close! Like the rest of us, he is capable of making mistakes and sometime he may even defending the indefensible and he has demonstrated in the PCCB investigations debate. My advice to JF contributors is that they should not feel intimidated and use blind loyalty as the path of least resistance. Mkjj needs (and I think he enjoys) receiving constructive criticism as a form of back pressure from his readers. If nothing else, it keeps him honest, humble and well grounded and not too full of himself, which is important for a person that has attracted such a wide JF following.
 
Mkurugenzi wa Takukuru Dr. Hosea, baada ya kutema cheche ile jana, leo ametinga rasmi katika viwanja vya Bunge na kukutana uso kwa uso na Spika Sitta, hivyo kumaliza rasmi malumbano yao kwa kukumbatiana kwa vicheko, tashwishwi na bashasha tele.

- Hii ndio Tanzania, masikini ya Mungu, tuko hoi mpaka hatuwezi kufikiri tena, sasa tizama this is the leading story katika taifa, sasa tutegemee nini hasa kama wananchi wenyewe tumeishiwa namna hii, tena wananchi wa kutoka JF taasisi ya elimu ya bure kwa taifa,

- I mean Hosea na Sitta, wakutana uso kwa uso as if kukutana kwao au kulumbana kwao kuna anything to do na masilahi ya taifa, mwananchi M-Tanzania, mpaka hapa bado huwezi kuelewa ni kwa nini wabunge wamekuwa akipigiwa simu za kuhojiwa, tulikwambia hapo haijavunjwa sheria ila ni siasa tu ndio maana milango ya ku-negotiate na ku-compromise imeachwa wazi, na sasa hawa wameeenda kukutana ku-compromise,

- Lakini in the process, wamekudanganya kwamba kuna a serious ishu ya sheria kati ya Spika na Hosea, kumbe ni uongo wa mchana kweupe, sasa tizama how things are going down, sasa badala ya kushituka kwamba ni changa la macho, ndio kwanza tunaimba their song, Hosea na Sitta wakutana uso kwa uso, as if wananchi walalahoi watafaidika na anything after kukutana kwao, nothing na ni pure nonsense!

- One of this day, nitachukua waya wa umeme na kupitisha ndani ya vichwa vya wa-Tanzania wengi sana, maana huu usingizi hauna mfano, I mean man amuka hawa Hosea na Sitta wote they belong to Segerea, sasa peleka them now garademiti!

- And yes, I said it they all belong to Segerea!, sasa peleka them now! kwa kutuletea wananchi this foolish Comedy, Sitta alitakiwa at this time awe anatayarisha kikao maalum cha bunge cha kumuwajibisha Hosea, kwanza kwa kuhukumiwa na kamati ya bunge ya Mwakyembe kwa kuhusika na ubadhirifu wa hela za wananchi walipa kodi, pili kwa kulidanganya taifa kwamba Lowassa na Richmonduli hawama makosa yanayo-amount to a crime against our Republic, na tatu kwa kuwatishia nyau wabunge, Full Stop!

Respect.

FMEs!
 
Tuesday Nov 03, 2009 🙁

11_09_29xc8j.jpg
THE Speaker of the National Assembly, Mr Samuel Sitta (right) and Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Director General, Dr Edward Hosea, in talks at Parliament buildings in Dodoma today. PCCB is investigating members of parliament alleged to have been paid allowances in questionable circumstances. (Photo by Mwanakombo Jumaa)

Sitta: Karibu Dk. Vipi habari za huko. Utakunywa chai au kahawa.

Hosea: Salama Mheshimiwa kahawa kama ipo ahsante. Nimeona nije tupate fursa ya kubadilishana mawazo ana kwa ana maana tangu sakata hili lianze tunalumbana kwenye magazeti tu. Hawa waandishi wa habari ni watu hatari wanaweza kutugombanisha hivi hivi.

Sitta: Umefanya vizuri sana. Sasa tuanzie wapi maana mimi kwanza niliona kuwa hayo uliyotaka kuyafanya yalikuwa ni uchunguzi wa kawaida na nikalikubali, lakini baadae wabunge wakanikaba koo ikabidi nitafute njia ya kujinasua kwani ombi lilitokea ofisini kwangu.

Hosea: Unajua tatizo hili la posho mbili ni kubwa sana kuliko wabunge wanavyolichukulia na linaweza kuwafikisha pabaya maana waliochota posho hizo ni wengi sana, Lakini hakuna kisichowezekana. Kwa kuwa jambo lenyewe limekwisha toka nje, njia bora ya kulizuia ni kuendelea tu na mahojiano na halafu watu wakisha lisahau tukalimaliza kimya kimya. Wakati hayo yakiendelea sisi sote inabidi tukae kimya kwa kusitisha malumbano.

Sitta: Sawa. Mimi nakubaliana na pendekezo hilo na nitazungumza na wabunge ili tusilikuze jambo hili maana linaweza kutuharibia sisi wote.

Hosea: Sasa Muheshimiwa, tunasimama wapi kuhusu ile issue yangu ya maazimio ya Bunge. Wewe unalionaje mwelekeo wake.

Sitta: Hapa ni lazima tusaidiane. Kwa kuwa baadhi ya waliotakiwa kuwajibishwa wamekwisha staafu, itakuwa haina ugumu sana. Wewe shughulikia hilo la posho mbili na mimi nitashughulikia hilo la azimio la Bunge. Si unajua tena wale wote wanaolishabikia ni vijana wangu. Mimi nitawapa melekezo tu. Usijali.

Hosea: Shukran Muheshimiwa. Basi najua unashughuli nyingi na naomba ruhsa niondoke. Naomba tuendelee kuwasiliana na naamini mambo yatakuwa shwari.

Sitta: Ahsante sana kwa kuja na usiwe na wasiwasi.

Ha ha ha!!! Just my imagination!!!
 
Back
Top Bottom