Posho mbili, Spika Sitta, Takukuru na Maadili yake!

Ushahidi unapatikana baada ya uchunguzi! Unataka kusema CAG akibariki hesabu ndio hazina matatizo? Kama PCCB itasubiri mpaka CAG aseme kuwa kuna ubadhirifu sasa wao wapo kwa ajili ya nini? Wake up pls!
Hapana mkuu wangu ktk idara yoyote ya mahesabu wana kitengo cha ndani cha auditing..PCCB wanaweza tu kufanya uchunguzi kinyume cha hapo ikiwa swala zima linahusiana na Rushwa.. Maombi ya katibu au mtu binafsi ni lazima wao walichunguze kwa uangalifu zaidi wakifuata ushahidi wa kwanza toka kwa katibu huyo ama mtu yeyote..

Ktk saga hili inaonyesha wazi PCCB hawakuwa na ushahidi wowote zaidi ya kufuata ombi la katibu wa bunge. Kama wao ni watenda kazi kisawasawa wangeenbda tazama vitabu vya Bunge na sehemu ambayo wahusika wanakisiwa kuchukua fedha hizo kinyume cha sheria kisha wanafungua mashtaka.... Kazi ndogo na imekwisha!
 
Mechi hii mimi nimesha sema . Speaker kwa kusimamia hili anakuwa kesha jimaliza kabisa .Vipimo hana na he is no longer fighting ufisadi maana ni part of it kwa 100%
 
Mechi hii mimi nimesha sema . Speaker kwa kusimamia hili anakuwa kesha jimaliza kabisa .Vipimo hana na he is no longer fighting ufisadi maana ni part of it kwa 100%

hao hao, wale wale, wote wote, CCM tu hakuna jingine,

nilishasema hakunambunge wa CCM mpiganaji!
 
Wabunge kama wana nia na hoja hiyo basi haiwezi kusimama kwa kuhojiwa na posho.Kwani niw wote wanao chukua posho ?
 
Sure, kuna haja ya kufuatilia juu ya mafuta vile vile (TSh 2,500 badala ya 1,600)! Sasa hivi watapewa fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo, tutasikilizia vijimambo hapo!

sasa wasipofanya haya na mengineyo watalipaje zile pesa walizomwaga kuhonga wapiga kura?, zile zinatakiwa zilipwe na faida kubwa ya kuweka mfukoni ipatikane within 5 years...
 
Nakuunga mkono kwamba Ofisi ya CAG ni mahali pazuri pa kuanzia, lakini hatuna uhakika kwa 100% kama wamechunguza huko au la, si unajua uchunguzi ni siri?
 
Tunahitaji mabadiliko makubwa sana ndani ya Bunge letu, ikiwa Spika wa Bunge anaongea pumba na kutoonyesha kujali kabisa matumizi ovyo na ufujaji wa kodi za wananchi. Ni kweli kabisa Dr. Wilbroad Slaa alililalamikia sana hili suala la posho fujaji za wabunge lakini aliwashiwa moto na wabunge na hoja yake kuzimwa haraka. Ufujaji huu wa kodi za wananchi ni aina nyingine ya UFISADI.

Dr. Wilbroad Slaa ndio anefaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi wa mwaka 2010.
 
Sure, kuna haja ya kufuatilia juu ya mafuta vile vile (TSh 2,500 badala ya 1,600)! Sasa hivi watapewa fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo, tutasikilizia vijimambo hapo!

Hivi sasa tutaona na kusikia mengi. Ni Wabunge wenyewe ndio wamejipalia makaa kwa ujuba wao. Sasa mianya yote hii ikifungwa sijui watamlaumu nani. Hosea tena? Sasa EWURA nao wakiingilia kati maana wanapandisha bei ya mafuta kuliko ile iliyopitishwa na EWURA napo wataanza kumchunguza Haruna Masebu?

Mimi nimemsikiliza Spika live kwa kweli sikuamini masikio yangu. Anahimiza ufisadi hivi hivi. Naona amechanganyikiwa.
 
hili zee ***** sana hili..yaani kufanya mambo ya uhuni wa kupokea posho mara mbili yeye anaita ni kuwaonea wivu..
 
hili zee bwegesana hili..yaani kufanya mambo ya uhuni wa kupokea posho mara mbili yeye anaita ni kuwaonea wivu..
 
Kipengele cha ubadhirifu wa fedha za umma kinyume na kifungu cha 28 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, 2007, Na. 11/2007!

  1. Kama malipo yote yamefuata sheria na taratibu za malipo, sasa rushwa inatokea wapi?
  2. Kwa hiyo mbadhirifu ni nani, anayelipa au anayelipwa kufanya kazi?
  3. Kama posho ni kubwa, hilo ni suala lingine lakini sio kazi ya TAKUKURU.
 
Mechi hii mimi nimesha sema . Speaker kwa kusimamia hili anakuwa kesha jimaliza kabisa .Vipimo hana na he is no longer fighting ufisadi maana ni part of it kwa 100%

asante kiongozi kwa reminder .i said it early kuwa Sitta ni mbabaishaji..he has nothing serious to speak kuhusu ufisadi
 
hivi kwa nin i wabunge wasipige kura ya kutokuwa na imani na serikali?maana makelele yao mi naona kama ni maigizo tu..wafanye maamuzi magumu na mazito ndo tutawaona wa maana..
 
Geeque,
Unashangaa hili lakini la Azimio la Zanzibar hatushangai..Hizi ni mbinu za ulaji ambazo zipo CCM miaka nenda miaka rudi toka tulifute Azimio la Arusha. Posho mara mbili ipo kama inavyokubalika kiongozi kufanya biahara akavuta mshahara na biahsra yake kuchukua tender za serikali kinyemela..
Daktari kufungua Hospital yake binafsi nje ya kazi alokabidhiwa na serikali kama daktari wa Muhimbili, mwalimu kufungua shule yake mwenyewe na kadhalika. Ni mfumo mfu ambao tunaupigia kelele na sio wananchi wanaofuata mfumo mfu..
 
Sure, kuna haja ya kufuatilia juu ya mafuta vile vile (TSh 2,500 badala ya 1,600)! Sasa hivi watapewa fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo, tutasikilizia vijimambo hapo!

  1. Hata kama hizo namba ni za kweli, sio wabunge walioziweka. Serikali ya Kikwete/Lowassa ndio walioziweka.
  2. Marupurupu ya wabunge hata kama ni makubwa kuliko mishahara ya watumishi wengine, sio kazi ya TAKUKURU kuyafuatilia kwani yamewekwa na serikali ya Kikwete ambaye ni bosi wa TAKUKURU.
  3. Wa kulaumiwa juu ya marupurupu ya wabunge ni raisi aliyesaini kuyakubali. Kama hayafai hivi sasa, wanaweza kuwasilisha muswada bungeni wa kuyabadili.
 
Pengine kuna ukweli ktk maneno ya Nyani Ngabu - Miafrika Ndivyo Tulivyo.
Wanasema:- Don't blame bad driver blame the genes!
 
Haya ndio maswala ya kuangalia na pengine kuchunguzwa na Takukuru...

  1. Haya sio masuala ya kuangaliwa na TAKUKURU maana sio rushwa bali vipato halali vilivyoidhinishwa na serikali ya Kikwete.
  2. Wa kulaumiwa juu ya marupurupu ya wabunge ni raisi aliyesaini kuyakubali. Kama hayafai hivi sasa, wanaweza kuwasilisha muswada bungeni wa kuyabadili.
  3. Kwa posho halali kuandikwa mbele kwenye gazeti la Rostam/Lowassa/TAKUKURU inaonyesha wazi kuwa nia ni kuwagongnisha na kuwachanganya wabunge na wananchi ili wasijadili Richmonduli.
 
Makaayamawe,
Mkuu wangu nimeandika hivyo kwa kuelewa kwamba kuchukua Posho mara mbili sio Rushwa.. sasa ikiwa Takukuru wanaweza ingilia hizi posho basi yapo mengine makubwa zaidi ambayo mimi na wewe tungependa wayachunguze. Yawezekana sii Rushwa kwa mtazamo wako lakini yote ni Ubadhirifu wa fedha za serikali..kifungu cha sheria kipo!
 
hivi kwa nin i wabunge wasipige kura ya kutokuwa na imani na serikali?maana makelele yao mi naona kama ni maigizo tu..wafanye maamuzi magumu na mazito ndo tutawaona wa maana..

Kwa hili nakubaliana na wewe.

Dalili zipo za Bunge kuja kuvunjwa kama wataendelea kujadili mambo yanayomkuna JK. Kama wabunge hawatamuondoa Kikwete kwanza, basi wajiandae kwani atawaondoa wao.

Wabunge wanatakiwa waiondoe serikali ya Kikwete/mafisadi kabla haijawaondoa na kukosa hizo posho zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…