Hapana mkuu wangu ktk idara yoyote ya mahesabu wana kitengo cha ndani cha auditing..PCCB wanaweza tu kufanya uchunguzi kinyume cha hapo ikiwa swala zima linahusiana na Rushwa.. Maombi ya katibu au mtu binafsi ni lazima wao walichunguze kwa uangalifu zaidi wakifuata ushahidi wa kwanza toka kwa katibu huyo ama mtu yeyote..Ushahidi unapatikana baada ya uchunguzi! Unataka kusema CAG akibariki hesabu ndio hazina matatizo? Kama PCCB itasubiri mpaka CAG aseme kuwa kuna ubadhirifu sasa wao wapo kwa ajili ya nini? Wake up pls!
Ktk saga hili inaonyesha wazi PCCB hawakuwa na ushahidi wowote zaidi ya kufuata ombi la katibu wa bunge. Kama wao ni watenda kazi kisawasawa wangeenbda tazama vitabu vya Bunge na sehemu ambayo wahusika wanakisiwa kuchukua fedha hizo kinyume cha sheria kisha wanafungua mashtaka.... Kazi ndogo na imekwisha!