Posho za Staff wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania

Mzee Wa Jambo

Member
Joined
Aug 28, 2023
Posts
43
Reaction score
58
Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu

Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya Taasisi zingine Na mashirika Mengine ya Umma?
 
Hili swali lako lipo general sana taasisi za vyuo vikuu zinatofautiana kuna ambavyo vinajitegemea na kuna ambavyo vipo chini ya wizara tofauti tofauti.

Kwahiyo kifupi tafuta staff wa chuo unachokilenga na umuulize huko..!
 
Hapo nilikuwa nalenga ambavyo viko chini Ya wizara
Mfano TIA NIT TPSC n.k
Lakini asante kwa kunifumbua
 
Posho zipo kibao sema ni ngumu kuzijua kwa vile kuanza mwezi wa saba viwango vilipanda ...

Ila kwa level ya degree holder kiwango cha chini kama per diem ni zaidi ya 250k, manager wanakulw kama 400k ila management sijajua.

Nyingine za kawaida sana kama nyumba , transport , house allowance ,security na wapo wenye pesa mpaka ya parking .

Hizo hapo juu hakuna yenye kiwango chini ya 200k .

Mengine ni ndani ya ofisi maana wapo wanakulq house allowance ya 600k tena level ya graduate anayeanza kama daraja II.
 
Asali Ni Tamu Mkuu
 
Kwahiyo hizi stahiki za nyumba,usafir n.k ni kwa wakuu wa vitengo tu au kwa watumishi wote?
 
Back
Top Bottom