Poshy queen kafungua biashara

Poshy queen kafungua biashara

mkuu umelenga mule mule,hio ni size yangu,lol

Poshy amejidhalilisha angeleta nguo za maana kwa masister duu wa town...utoto bwana, hajapata wa kumshauri..
Ndio anaanza biashara,
Namshauru aende pale mwenge kwa jamaa yangu anaitwa Lande aone lingeries za maana....
Anatuleta malonya ya karume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom