Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #81
Hhaaaha kashafungua sehemu anayopatikana kirahisi.. Fanya kusogea umuulizeHahahahahaa Hata SANCHI WODI hajafikia hiyo BEI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhaaaha kashafungua sehemu anayopatikana kirahisi.. Fanya kusogea umuulizeHahahahahaa Hata SANCHI WODI hajafikia hiyo BEI.
Hapana mkuu.Mimi huwa napigilia bukta,kanzu,kizibao na mguuni talawanda.Nikivaa chupi ntajisahau wakati wa kutoa pesa.Mambo yatakuwa shida tafrani.
Poa nikija DSM nitamtafuta DAU langu Mwisho BOX MBILI aka KILO MBILI aka JIWE MBILI aka LAKI MBILI.Hhaaaha kashafungua sehemu anayopatikana kirahisi.. Fanya kusogea umuulize
Sent using Jamii Forums mobile app
JAHAZI ASILIA.Ni chadema?
Ndio anaanza biashara,mkuu umelenga mule mule,hio ni size yangu,lol
Poshy amejidhalilisha angeleta nguo za maana kwa masister duu wa town...utoto bwana, hajapata wa kumshauri..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] , ndyoo, yani ile ukishamaliza kuuza tu huo uwanja kabla hata hujampa huyo mtoto mzuri Poshy, ushakamatwa huhuuOohoooo
Tena?!!
Hilo duka hawaendi wenye flat screen.
Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.
Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa
Kila la kheri na mafanikio Jacq[emoji7]
View attachment 1018366View attachment 1018367
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.
Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa
Kila la kheri na mafanikio Jacq[emoji7]
View attachment 1018366View attachment 1018367
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inawezekana ni biashara nyingine yenye mtaji binafsi [emoji144][emoji144][emoji144]Ila mi mwenyewe ananiacha hoi.. Hawezi piga picha bila kugeuzia camera makalio.. Ni lazima kila picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Doh umenikumbusha mbali hilo neno tei teimbona ma tei tei makubwa hivyo? lol